Natafuta mke HIV positive aliye tayari

pqrx2014

Member
Oct 15, 2016
6
2
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.

Ni PM kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia.
 
Nina Miaka 28,nimeokoka..natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26,elimu atleast form Six and above ,awe mkristo na aliyeokoka. Ni PM Kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia
Hapo kanisani wameisha ? Kaoe kijijini kwenu boss ! wanawake wa J|F watakulia hela tu !
 
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.

Ni PM kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia.
Bado nakumbushia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom