Unaowakataa wawaanika!
Wanaofanikiwa hutwambii !
Imekaaje hii ?
Raha ya vibabu utosi, mtoto mdogo utajua nini?
Mbona naskia wewe umebobea kwenye ufreemasoni na kuongeza nguvu?
Unayo ya kumfukuza mpenzi aliye karibu?
He he he he, kumbe unamnanga samaki wakati hujaonja mapezi yake?
Onja kwanza ndio unange lol
Hiyo dawa ninayo tena itamfukuzia mbali kama mbwa koko na ili dawa hiyo ifanye kazi inabidi nikupake mwenyewe. Njoo ofisini kwangu saa sita usiku ili nikupake hiyo dawa.
Ha ha ha ha ha, umenikumbusha panga la shaba lol
Unanipaka kwa kutumia nini? Cotton Bug?
Kweli ukicheza na watoto wanakuvua msuli lol
Mie nimezowea brush ya chelewa
He he he he, kumbe unamnanga samaki wakati hujaonja mapezi yake?
Onja kwanza ndio unange lol