Natafuta Mganga wa Mapenzi

hivi konnie yaani unanisimanga mchana kweupe kila mtu ananiona?
Hivi bishanga kuku maind imekuwa tabu?
By the way nikikwendea ujiji utapona wewe,si utakuwa unaniota mchana?
 
Mbona naskia wewe umebobea kwenye ufreemasoni na kuongeza nguvu?

Unayo ya kumfukuza mpenzi aliye karibu?

Hiyo dawa ninayo tena itamfukuzia mbali kama mbwa koko na ili dawa hiyo ifanye kazi inabidi nikupake mwenyewe. Njoo ofisini kwangu saa sita usiku ili nikupake hiyo dawa.
 
Ha ha ha ha ha, umenikumbusha panga la shaba lol
Unanipaka kwa kutumia nini? Cotton Bug?

Hiyo dawa ninayo tena itamfukuzia mbali kama mbwa koko na ili dawa hiyo ifanye kazi inabidi nikupake mwenyewe. Njoo ofisini kwangu saa sita usiku ili nikupake hiyo dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom