Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,067
- 4,096
Hivi navyo vibweka, mweee
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
Niko tayari kumpa kiasi kinono yeyote atakaye nisaidia kumpata mganga mwenye sifa hizi.
- kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
- kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
- awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.
Mnyakyusa wa ujiji!!!!!!!???????
Bora ungesema kuwa wewe ni mnyamanyafu tungekuelewa.
Maana wamanyamanyafu kwa uchawi tu , wahajambo, hadi wafipa wanawaogopa.
Si sili umu jamvini utafurahi,na siku utachukia kweli,hii nimefurahi sanapita morogoro road, pale jangwani kuna kibao cha mganga kutoka naijeria, fuata mshale, natumai utafika unakokusudia...kila la kheri na nguvu za giza...lakini kama wewe ni ccm, mtafute mbunge wako na umuulize yeye alifanyaje?
Hayaja kufika wewWee acha kuchanganyikiwa Hakuna mganga dunia hii,