Natafuta Mganga wa Kienyeji Aliye Mkweli

Very gud advice mbu

...naam,

Ndivyo ilivyo.
Imani "ya aina yoyote ile," haiwezi kutatua matatizo zaidi ya kukupa tu MATUMAINI. Inabidi mtu utumie akili yako kupanga, kuchagua, na kusimamia utekelezaji wa mipango uliyojiwekea katika kupambana na maisha.
 
najua huo ni utani lakini serious we christians we believe in bible na bibilia inasema amelaamiwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake kumbe moyoni mwake amemwasi Bwana Yesu. Do bear in your mind kwamba there is no free lunch, shetani hakupi kitu bure bwana utalipa tu whether you like or not. so its your choice kuwa na furaha ya kitambo au kuwa na uzima wa milele.
mbarikiwe
debora,vitu vingine vimekaa kama jokes lkn mpendwa usishangae kabisa kua hata kama yeye anatania wapo ambao huu kwao si utani!!
 
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
  • kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
  • kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
  • awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.
Niko tayari kumpa kiasi kinono yeyote atakaye nisaidia kumpata mganga mwenye sifa hizi.

ukimtaka mganga wa kweli jaribu kuwasiliana na mimi kwa njia ya email email yangu ni hii yarocksaad2005@gmail.com nitakupa huyo mganga namba yake ya simu
 
Njoo kwangu shinyanga nikutibu...ila mie ni wa UDP kama utakubari kugombea kupitia chama changu kama kawa utasaidiwa...
 
.......

natoka nje kidogo nina swali,kwa kiswahili sanifu kazi ya mganga ni nini? naona kama mleta hoja anatafuta mchawi? au nimekosea wakuu? naona watu siku hizi wanachannganya kati ya mganga na mchawi naomba tofauti ziwekwe mwenye kujua kwa undani?

Kama vile tabibu anavyotibu, mganga ana ganga. Na kuganga ni kuhangaika, kubahatisha bahatisha. Hivyo basi mganga akikuganga, hana uhakika kama utafanikiwa kwenye huo ugangaji ama la kwa vile anahangaika kubahatisha bahatisha.
 
kweli dunia imejaa mambo ya ajabu.
kwanini una chuki na wenzako hadi kufikiria uchawi?
je mganga akikuambia umpelekee mkono wa albino ili yale yote unayoyataka yatimie, si ndugu zetu watakuwa shidani?
maana kaka unatamaa mno yamali za duniani.
Kuna haja gani ya kutafuta vyeo kwa waganga?
Mtumaini Mungu naye atakuwezesha.
 
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.

Shida zangu hasa ni:-
  • kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
  • kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
  • awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.
Niko tayari kumpa kiasi kinono yeyote atakaye nisaidia kumpata mganga mwenye sifa hizi.

Mtafute Sebastian Ndege yule host wa kipindi cha Njia panda, Clouds FM atakwambia kuna kijana mmoja ni hatari sana - alikuwa anamhoji wiki moja iliyopita. jamaa ana degree 11 za uchawi na uganga, we ukitaka Udiwani, Ubunge kumtimua bosi wako kazi - mbona issue ndogo kwake.

Anatumia unganga wa Baharini, Nchi kavu, Mtoni, Makaburini, angani na ziwani.

Walokole walimfuata ofisini kwake eti walitaka kuchoma ofisi na matunguri yake yote ili amrudie Mungu, akawaambia anamjua mungu kuliko wao, akapiga uchawi na ulozi pale basi jamaa wakaanza kuungua nyeti zao huku wanakimbia hovyo hovyo - police wakaja kusuruhisha.
 
My dia nimesikitika sana,unatafuta mganga?mganga wa mtu ni mtu,ongea na watu watakupa ushauri kama ulivyopewa hpa,kwann unamwamini mganga ambae yy anamtegemea Mungu?angekuwa mganga si angejua siku zake za kufa na zako?angekuwa mganga si angefufua wafu?angekuwa mganga si angekuwa na maisha mazuri kuliko ww?mbona anatumia wilivyoumbwa na Mungu?miti,vyakula hewa?!Usimjaribu bwana Mungu wakoMungu akusamehe ujui unenalo na akupe hekima ya kuchambua mambo tena ukaombewe maana umejaa kiza unahitaji Nuru.
 
my dia nimesikitika sana,unatafuta mganga?mganga wa mtu ni mtu,ongea na watu watakupa ushauri kama ulivyopewa hpa,kwann unamwamini mganga ambae yy anamtegemea mungu?angekuwa mganga si angejua siku zake za kufa na zako?angekuwa mganga si angefufua wafu?angekuwa mganga si angekuwa na maisha mazuri kuliko ww?mbona anatumia wilivyoumbwa na mungu?miti,vyakula hewa?!usimjaribu bwana mungu wakomungu akusamehe ujui unenalo na akupe hekima ya kuchambua mambo tena ukaombewe maana umejaa kiza unahitaji nuru.

huyu kaka yetu sijui amekuwaje siku hizi.
Yaani utata kuanzia asubuhi hadi kunazama.
Mamushka, itabidi umpe maneno ya kumbadilisha mtazamo wake.

mtafute sebastian ndege yule host wa kipindi cha njia panda, clouds fm atakwambia kuna kijana mmoja ni hatari sana - alikuwa anamhoji wiki moja iliyopita. Jamaa ana degree 11 za uchawi na uganga, we ukitaka udiwani, ubunge kumtimua bosi wako kazi - mbona issue ndogo kwake.

Anatumia unganga wa baharini, nchi kavu, mtoni, makaburini, angani na ziwani.

Walokole walimfuata ofisini kwake eti walitaka kuchoma ofisi na matunguri yake yote ili amrudie mungu, akawaambia anamjua mungu kuliko wao, akapiga uchawi na ulozi pale basi jamaa wakaanza kuungua nyeti zao huku wanakimbia hovyo hovyo - police wakaja kusuruhisha.

dah,
huyu mganga amelishinda neno la mungu?
Hao walokole ni feki wasio ongozwa na roho, ndio maana wanafanya fujo.
Kwenda kuchoma mali za watu ni dhambi na ukorofi unaotakiwa kukemewa.
Walokole wa namna hii ambao ndio chanzo cha machafuko na uvunjifu wa amani hawafai kwenye jamii yetu.
 
ntambadilisha usijali lkn awe tayari kubadilika,walokole hao uncle ni kweli feki hawakuongozwa na roho na kweli,shetani hajawahi kumshinda Mungu hata siku moja na haitakuja tokea labda ije dunia nyingine bwana!
huyu kaka yetu sijui amekuwaje siku hizi.
Yaani utata kuanzia asubuhi hadi kunazama.
Mamushka, itabidi umpe maneno ya kumbadilisha mtazamo wake.

dah,
huyu mganga amelishinda neno la mungu?
Hao walokole ni feki wasio ongozwa na roho, ndio maana wanafanya fujo.
Kwenda kuchoma mali za watu ni dhambi na ukorofi unaotakiwa kukemewa.
Walokole wa namna hii ambao ndio chanzo cha machafuko na uvunjifu wa amani hawafai kwenye jamii yetu.
 
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
  • kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
  • kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
  • awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.
Niko tayari kumpa kiasi kinono yeyote atakaye nisaidia kumpata mganga mwenye sifa hizi.

Karibu kwetu Liwale, Kijijini kwetu KWA MPIGAMITI, waganga wa jinsi hiyo wamejaa tele
 
Wee acha kuchanganyikiwa Hakuna mganga dunia hii,

Afadhali umesema ukweli!

Hii ni dalili mbaya Simbalawinyo na kwa kweli inahitaji msaada! Hebu tafuta watu unaowaamini kaa uwaeleze shida zako na namna unavyohangaika na haya maisha utapata msaada lakini si kukimbilia huko unakokwenda! Unajitumbukiza dhambini bure!
 
Wewe hutafuti mganga unatafuta mchawi,atakaye mloga bosi wako na wanakijiji unaotaka kura zao,huko kijijini kwenu!!
 
Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli.
Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili.
Shida zangu hasa ni:-
  • kuliteka jimbo la uchaguzi wa kijiji nilichotoka ili nikautwae ubunge wa jimbo hilo.
  • kumtimua bosi wangu hapa idarani maana amekuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya wafanyakazi wote, anamtumikia zaidi muhindi na anasahau hata kukutetea haki zetu za msingi.
  • awe mshauri wangu wa mambo yajayo na kunisomea alama za nyakati.
Niko tayari kumpa kiasi kinono yeyote atakaye nisaidia kumpata mganga mwenye sifa hizi.

Wewe inabidi uombewe! Nafikiri nyie ndio mnawanga jamiiforums site tukashindwa kuipata siku nne zilizopita. Vitu vingine sio vya kuomba ushauri hapa maana ni rubish.
Yani ingekuwa ni uwezo wangu wachawi na waganga wote ningechoma moto. Imani zenu hizo za kifirauni ndio zinasababisha watu wanabaka watoto zao kisa wawe na pesa..

Ungekuwa karibu ningekutambulisha kwa "kimbo slice" akuchape vibao...Umeniuzi na uchawi uchawi wako
 
YAANI KUNGEKUWA NA NAMNA YA KUKUGONGEA THANKS ZAIDI YA MOJA KWA KWELI NINGEKUPA TANO.
LAANA YA TAIFA HILI NI UCHAWA.
MAFISADI NI WACHAWI,
WENGINE WALIKAMATWA WAKIMWAGA MADAWA MJENGONI KULE Dodoma.
 
Back
Top Bottom