natafuta mchumba

Bagrameshi

Senior Member
Jun 22, 2012
131
43
awe na umri 18-23, elimu form four,umbo la kawaida na awe na afya njema bila kusahau awe na tabia za kupendeza. Email kaboyoka.joseph@yahoo.com
 
Mbona sifa zako ni pungufu sana?????
Ama unafananisha humu na Facebook?????
Humu unachujwa mpaka unakaa sawa!
Funguka vema mchumba utampata!
 
mchumba wa jinsia ipi kiume,kike funguka mkuu. Usiwe unataka akina malawi huku hauwezi kupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom