Natafuta mchumba

MMDAU

Member
Aug 15, 2012
94
19
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita
maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika
 
kah wtz hawaishi vioja mi mwenyewe nilikua nafungua haraka haraka kumbe ni chumba
mbavu sina watu wanaweza kushang'aa nacheka mwenyewe chumbani
 
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita
maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika

JipAAnGE!
 
Kama Chumba kikubwa kinaitwa mchumba,then hicho unachotaka wewe ni zaidi ya mchumba ni mkubwa zaidi ya hapo,labda kama unataka Unyumba..(Nyumba kubwa)....kwani wewe ke au me????
kwani hapa maeneo yetu sinza unyumba ni kwa 'ke' tu
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom