natafuta mchumba

if you real serious ni cheki kwa emmanuelvitalis@tanzaiamail.com but make sure upo serious kweli!!
 
Sioi Leo, Sioi Kesho, wala mtondogoo,
Sioi Mchana, Sioi Usiku, Wala Majogoo,

Alielala na Bibi Harusi,
Siku moja kabla ya Harusi,
Na wala sio Bwana Harusi,
bado mnanishauri Harusi??

Hamuwezi kua hamjaelewa!!

ha aha ha aha aaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaa
 
Aisee vidume vimeisha, yani mdada keshaweka bango halafu pia mnataka amipm, kesho yeye atoe offer ya outing! Nilidhani ni udomo zege but this is more than that!


Humu ndani bana, thread ya mwanamke kutafuta barafu wa moyo inachangamkiwa sana. Za vidume nyingi zapinduka.
Inamaana vidume ndo desperate au kutaka kutumia na kusepa?
 
Sioi Leo, Sioi Kesho, wala mtondogoo,
Sioi Mchana, Sioi Usiku, Wala Majogoo,

Alielala na Bibi Harusi,
Siku moja kabla ya Harusi,
Na wala sio Bwana Harusi,
bado mnanishauri Harusi??

Hamuwezi kua hamjaelewa!!

woga wako tu kaka
 
Acheni kuzingua watu hapa mnatafuta wachumba hao mlio nao hawawatoshi
au unakuja kuona ni wangapi watakutumia sms ujue jinsi gani midume ilivyo na uchu.
 
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea

dah! Naruhusiwa kubadili dini nkufuate kanisani? Funguka tulianzishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom