natafuta mchumba

mark11

Member
Nov 27, 2011
29
1
habari jf,
mimi ni kijana wa mwenye miaka 26, natafuta mchumba wa kike ambae nitakuja kuishi nae baadae kama mume na mke

Ni mwanafunzi uhandisi wa mawasiliano(finalist), mkristo. Ni mrefu wa wastani, pia mwili wa wastani, rangi maji ya kunde.

mchumba awe: :
1. Mwenye umri usiozidi miaka 23
2. Awe na elimu ya angalau kidato cha 4
3. Mkristo
4. Awe tayari kupima afya na kuvumilia mpaka ndoa
5. Awe hajazaa wala kutoa mimba
6. asiwe mnene, pia asiwe mfupi

kwa alie tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom