Natafuta Mchumba .

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Habari JF.
Mimi ni kijana na umri wa miaka 25, Mtanzania, dini Mkristo RC,elimu mwaka wa 3 degree ya IT.
Natafuta msichana anayependa maendeleo na chapa kazi.Sina ubaguzi wowote kwan wote ni wa Mungu.Naitaji PM yako tuu.
Karibuni.
 
mkuu sasa madegree ya IT ya nini kwenye mapenzi?, elewa kuwa usomi, uTZ, UDINI sio sifa katika mapenzi ya dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom