Mkuu unataka kuolewa, kuoa au vyote?Natafuta mchumba
Umri 20-35. Awe anaishi dar
Umri wangu 32
Makazi dar.
Asanteni
Natafuta mwanamkeMkuu unataka kuolewa, kuoa au vyote?
Sawa mkuu, ukipata mshangazi wa kimasai kama hautamuelewa nitumie namba yake.Natafuta mwanamke
Kila siku unaanzisha mada ya kutafuta wanawake,una shida gani?Natafuta mwanamke
Riverside hapo wamejaa kibao, nenda na kishika uchumba 30/40/50k mkononiNatafuta mwanamke
Nataka mchumbaKila siku unaanzisha mada ya kutafuta wanawake,una shida gani?
Kama huwapati huku mtandaoni si uwatafute mtaani kwako mkuu. Badala ya kuweka hapa uzi kila sikuNataka mchumba
Sijachati humu tangu mwezi wa 8Kama huwapati huku mtandaoni si uwatafute mtaani kwako mkuu. Badala ya kuweka hapa uzi kila siku