Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

JAMANI NIMETANGAZA KUTAFUTA MCHUMBA MAToKEO YAKE lijitu IMECHUKUWA E-MAIL YANGU lIMEANZA KUNTUMIA MAMBO ya kipuuzi+mitusi halafu lianaume sasa hadi imenibidi ntoe post NINI HII! au nliielewa tofauti hii love connect huenda si kwa matumizi nlozania mie au huwa haiwezekani kupata MPENZI humu??? sababu naona watu masihala yamezidi hata kama mtu uko serious..Uhuu!! najua wengi wanaotubeza sie tunao tafuta wachumba humu huenda wameoa au wameolewa bt sio vzuri wana jf kila kitu kitumike kadri ya matumizi yake yanayo stahili, kama huhitaji mchumba ya nini kuanza kubeza wenzio wenye nia hiyo lol tuelimeke wajemeni.


madhara yake hapo juu ni mamalamiko ya KAUK

Umenena vema auntie
 
Mimi ni mwanaume miaka 35. Maji ya kunge si mnene wala mwembamba naishi mwanza mimi ni mjasiliamali na mkulima natafuta mwanamke wa kuoa din rangi kabira sibagui ila miaka anzia 30. Namaanisha jaman. We ni pm kama uko tayari
 
Hellow girls&women niwakati wenu kuutuliza huu moyo ulio mpweke kama uko tayar tuwasiliane namaanisha natafuta mke,mimi ni na miaka 38,umbo la watan nina kilo 70,maji ya kunde,nina watoto wawili,so naitaji alie tayar hata kama ana mtoto nayeye gap liko wazi tuwasiliane aniPM.
 
tatizo nyie mko ulaya sisi hapa tz hatufanyi utani haswa ukizingatia hizi construction zisizoisha za barabara...rendezvous na new prospects ni lazima baada ya kazi
 
Mimi ni mwadhirika nimeachana na mke wangu baada ya kugundua mm ni mgonjwa kwa hiyo natafuta mke wa kuishi naye awe mwadhirika kama mimi ila awe kwenye hali nzuri cd4 ziwe juu
(Sitanii)
 
Naitwa Angel, natafuta mchumba, awe mrefu kiasi, mnene kiasi, mweusi kiasi, awe handsome jamani, awe na kazi or biashara nzuri. Awe na umri kuanzia 30-40.mi ni mfupi kiasi, maji ya kunde, ni mzuri, ni mfanya biashara umri wangu ni 30 yrs. mwenye sifa hzo ani PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom