Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Jaman,natumain muwazma,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22,nasoma bachelor ya medcne n surgery chuo kmoja hapa dar,natafuta mchumba/mke,awe mweupe,mrefu kiac,mnene kiac,dn yoyote,aliyetayar anchek.

HII PROMO? au upungufu wa akili kichwani(uwaki)?
 
Walaaam!
Kama jukwaa linavojieleza naona kuwa watu wengi sana wakike kwa wakiume wakitangaza uhitaji wao.Tatizo linakuja pale mtu anapotangaza uhitaji wake bila kuweka sifa za mwombaji. Ni vizuri kuwa clear ili hata mwombaji ajue kama anasifa au laa.
Namuona kabisa mume wangu hapa tafadhali kati ya men waliojitangaza anaehitahi mke mweupe, mkristo digrii holda, mfanyakazi serikalini english figa yenye kahipsi na katako, age 25 sio mref sio mfupi tabia tutachunguzana kwanza aje pm tubonge.Ni hayo tu.
 
Bahati yako nshakamatwa ila nakuombea umpate anayefanana na mimi !! Ukimpata nijulishe ntakusaidia ushushushu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom