Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 523
ni pm bi ayanda
Wewe size yangu34 ni uzeeni? Ha ha ha ha kakojoe ulale dogo
Call 07 17031918Congrats to you Ms Ayanda
watu mna majibu ya kuumizana roho!Ujana wako umekula na nani uje kuwa serious mno uzeeni???
Kwa Huyo we ni mjane?Yes ndoa hufungwa na mungu na mungu tu ndie hutenganisha si binadamu. ...believe me tumetenganishwa na mungu. Tumsifu yesu kristu
Mshikaji una maneno mazuri sana ya kutia moyo, kufundisha na kusaidia lkn yananipa wasiwasi km kweli una nia ya kumsaidia huyu dada au kuna kingine zaidi unakitafuta maana yeye kasema kakuelewa na atakuja pm but still u insist on ur words. Ok msaidie tu dada wa watuIf you are really and truly saved it is time for you to pray and fast for your Husband na sio kutafuta mwingine. There is no excuse isipokuwa kifo so watch out unasema you are saved huku unatafuta mume mwingine?? That is adultery my sister despite of your reasons or excuses the word of God doesn't change it is still there ni Kifo tu Dada yangu cha kuwatenga. Fikiria sana kabla hujachuma janga lingine
Watu kama nyie ni watu mnaojifunza toka kwa walioshindwa na kukata tamaa, kuolewa hakuna umriMiaka 34 ulikua unasubiria nini?? Ok haoa kwa huo umri utakua bi mdogo wa wenye vipato make haina namna
Ushauri tafuta mtoto wa masikini kwenye hizo taasisi za elimu umuoe wewe na siyo yeye akuoee
Kwa umri huo piga ua kupata wa sazi yako mjukuu wangu utakesha, huo umri uliouta wa miaka 34 na kuendelea wanadili na wasichana wa 18 mpaka 24
jamani hebu msaidieni huyu mtu inaonekana hili jambo linamtatiza
Hivi mdogo wangu ulimuacha au umem spare tyreCome to me bby nitafute I m serious tooo
Mshikaji una maneno mazuri sana ya kutia moyo, kufundisha na kusaidia lkn yananipa wasiwasi km kweli una nia ya kumsaidia huyu dada au kuna kingine zaidi unakitafuta maana yeye kasema kakuelewa na atakuja pm but still u insist on ur words. Ok msaidie tu dada wa watu
Una mtoto..?Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.