Natafuta mchumba wa kiume

Sifanyi masihara ila nasema kweli, kwa umri huo tayari ni doa ktk maisha ya ndoa, utakutana na waliochelewa wenzako aidha ktk kusoma au ukapera nao wanatafuta pakutua mzigo wao, wote mtakuwa mnataka kutimiza maandioko tu ila kutoka ndani ya mioyo mtakuwa mnahadaana. Umejitahidi sana kusoma na kuwa na kazi nzuri ila umechelewa kutafuta mwenza. Mungu akusaidie lakini.
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
..haha!nipo hapa dada vigezo nnavyo ila elimu ndo sina ya juu kama wewe:(
 
Huyu dada mbona mnasema ana umri mkubwa wakati bado ni binti mbichi kabisa.
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
pepo la uzinzi bado unalitetea! ukiokoka na kumwamini Mungu, uyo mchumba atakufuata mwenyewe lakini wewe unalazimisha kwa mapenzi yako! kiukweli Mungu hausiki hapa! labda uyo mungu wa dunia hii!
 
"]pepo la uzinzi bado unalitetea! ukiokoka na kumwamini Mungu, uyo mchumba atakufuata mwenyewe lakini wewe unalazimisha kwa mapenzi yako! kiukweli Mungu hausiki hapa! labda uyo mungu wa dunia hii![/QUOTE]
Jamani mchumba nimepata na had
 
acha kutuzingua, yaani tangia ulipoweka hii post ulionekana haupo serious, binafsi naamini katika matumazi chanya ya teknolojia, ila siamini njia hii uliyotumia unaweza pata mtu makini.
samahani kama nitakukwaza, its just what im thinking sis
Nshapata
 
Sifanyi masihara ila nasema kweli, kwa umri huo tayari ni doa ktk maisha ya ndoa, utakutana na waliochelewa wenzako aidha ktk kusoma au ukapera nao wanatafuta pakutua mzigo wao, wote mtakuwa mnataka kutimiza maandioko tu ila kutoka ndani ya mioyo mtakuwa mnahadaana. Umejitahidi sana kusoma na kuwa na kazi nzuri ila umechelewa kutafuta mwenza. Mungu akusaidie lakini.
Lazima utakua teenager
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
kuna ndugu yangu nae anatafuta mke sijui niwakutanishe vipi ili mkubaliane
 
Sifanyi masihara ila nasema kweli, kwa umri huo tayari ni doa ktk maisha ya ndoa, utakutana na waliochelewa wenzako aidha ktk kusoma au ukapera nao wanatafuta pakutua mzigo wao, wote mtakuwa mnataka kutimiza maandioko tu ila kutoka ndani ya mioyo mtakuwa mnahadaana. Umejitahidi sana kusoma na kuwa na kazi nzuri ila umechelewa kutafuta mwenza. Mungu akusaidie lakini.
Ur very wrong
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom