Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.