Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

Nako'z

Member
Jul 24, 2011
9
0
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.
 
wewe una matatizo ya akili,nenda kijijini k wenu katafute demu acha upunguani,utapata wapi mchumba hapa watu wanoangelea mambo ya muhimu kwenye nchi
 
Kama mm nna matatizo ya akili, ww utakuwa zaidi kwa sababu umenijibu ungekaa kmya ngekuona wa maana sn. Ok take tym.
 
wewe una matatizo ya akili,nenda kijijini k wenu katafute demu acha upunguani,utapata wapi mchumba hapa watu wanoangelea mambo ya muhimu kwenye nchi

hapana......mchumba atapata........sio wakati wote JF tunaongelea mambo ya nchi......inachosha.....wakati mwingine kama binadamu tunahitaji kusuuza roho zetu........bwana Nacko'z......usikate tamaa......ila ningependa kukushauri utoe maelezo kidogo kuhusu wewe ili iweze kukurahisishia mambo.....kila la kheri
 
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.
labda guests lakini members nakuhakikishia wameisha.sijakuelewa ulivyosema umri uzidi 22! Ina maana hata 50+ unabeba?nina bibi yangu anatafuta wa kumalizia nae maisha.
 
Jieleze vizuri utapata
miaka 22 hadi mingapi?
Kiwango cha fedha awe na sh ngapi labda
changanua mada
 
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu kifedha , Najua mapenzi hayana kanuni huanza kwa namna yoyote ile hivyo nimeona ni vyema nitumie ubao ili wenye hitaji kama langu watumie fursa hii kuwasiliana na mimi.

Kaka nina dada yangu anahivyo vigezo ila nina wasiwasi na wewe. Unatakiwa kujua kuwa humu pia wapo wengi wanaotafuta wachumba hata bila kupost matangazo hivyo unatakiwa kuwa serious kwani kwa maelezo yako hapo juu unaonekana msanii wa kutupwa;

1. Kwanza gender yako ni ya NZI kwani hukujitambulisha sex status yako hivyo utapata mchumba INZI kama wewe.

2. Unapotaja sifa unazozipenda kwa mwenzi wako ni lazima utaje na za kwako kwani unapojiuza unapaswa kujipigia debe. Kuna hatari ya
kumpata mtu ambaye hatapenda wewe ulivyo. Simply state your character.

3. Tahadhari kubwa hapa. Ujue kuwa unawasiliana na Invincibles na hivyo unaweza kujiweka katika mazingira hatarishi ya kubakwa kwani yaonekana unahitaji mtu wa kutoka naye zaidi ya mke.

4. Mchumba hatafutwi mbali na mazingira yako, nenda kanisani,msikitini,kijijini kwenu,kazini kwako, harusini,msibani na ukishindwa kote huko waambie ndugu zako wakusaidie kukutafutia. Hapa utabahatisha tu.
 
picha pliz.!!! Siku hizi ni mwendo wa picha na kujieleza vya kutosha, kama huna picha andika maumivu...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom