Natafuta mchumba(mwanamke) Nipo dar

Danizle

Member
Apr 14, 2016
8
1
Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake tuwasiliane.
 
  • Thanks
Reactions: waj

Similar Discussions

Back
Top Bottom