Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
- #21
Mchumba wa Kiume au wa Kike? Embu Fafanua.
B.
Wa kike.
Mchumba wa Kiume au wa Kike? Embu Fafanua.
B.
DUCE ya Dar-Tanzania
Wa kike.
Mazee unaweza wasiliana nao watakusaidia! Kuna email ya principal hapo chini.
Dar es Salaam University College of Education (DUCE)
P. O. Box 2329, Dar es Salaam.
Telephone: +255222850993
Fax: +255 22 2850952.
Email: principal@duce.ac.tz
Dingi,
Wa Kike Wameisha, Umechelewa!, Subiri intake inayokuja!.
B.
We Nyani Abiziani
Unataka mchumba mwalimu akufunze nini?
Nataka nimuoe.
Kama ni wa kuoa si hata daktari anafaa pia? Bahati mbaya mimi mwalimu ila nimeshaoa
Ndio nilikuwa namaanisha hicho chuo.thanks 4 the link.
Ndio mkuu duke ya bongo
...Mkuu kwa style hii unaweza kukumbana na mavicheche kibao wakijua unatafuta potential candidate. Ushauri wangu ni vizuri zoezi hili ungelifanya kimya kimya huko Duce unaweza ku-shotlist angalau wadada watatu then ukaendelea na usahili kwa mtindo upendao otherwise humu nahisi itakuwia ngumu. Good luck!!Mkuu hata kama ningeopoa najua asingeningojea hadi sa ivi..ila jamaa wananishauri nikirudi niende duke mwenyewe kuwinda pale ndo itakuwa makini
Mh!! Middle sio??!!Mi naweza kukusaidia ukapata mrembo aliye tulia pale duce...sasa hujaweka vigezo unataka aweje? Alafu nikiwa mpiga pande kwako yaani mpiga cross utaniwezesha na mm? Maana kuna gharama kama vocha na vinywaji tunakaa pale nje ya uwanja wa taifa.
Kwa hiyo niandike barua au nipige simu?
Mi naweza kukusaidia ukapata mrembo aliye tulia pale duce...sasa hujaweka vigezo unataka aweje? Alafu nikiwa mpiga pande kwako yaani mpiga cross utaniwezesha na mm? Maana kuna gharama kama vocha na vinywaji tunakaa pale nje ya uwanja wa taifa.
haupo makini mkuu mtu mpaka ameweka link ya DUKE na wewe ukajibu kuwa ndio hapo kumbe ulikuwa unamaanisha DUCE khaaaa!Ndio mkuu duke ya bongo
haupo makini mkuu mtu mpaka ameweka link ya DUKE na wewe ukajibu kuwa ndio hapo kumbe ulikuwa unamaanisha DUCE khaaaa!
Nashukuru kwa ushauri..ila kwenda kuweka tangazo ni miyeyusho zaidi.ila nia yangu ni kuoa mwalimu ndo maana nimependekeza duke.