Natafuta mchumba lakini uwe unasoma DUKE

Mi naweza kukusaidia ukapata mrembo aliye tulia pale duce...sasa hujaweka vigezo unataka aweje? Alafu nikiwa mpiga pande kwako yaani mpiga cross utaniwezesha na mm? Maana kuna gharama kama vocha na vinywaji tunakaa pale nje ya uwanja wa taifa.
 
Wanavyuo mwanangu wazushi, hawachelewi kukulia wakachuliwa na wengine. au mnaweza mkawa wachumba zaidi ya mmoja.
 
Mkuu hata kama ningeopoa najua asingeningojea hadi sa ivi..ila jamaa wananishauri nikirudi niende duke mwenyewe kuwinda pale ndo itakuwa makini:)
...Mkuu kwa style hii unaweza kukumbana na mavicheche kibao wakijua unatafuta potential candidate. Ushauri wangu ni vizuri zoezi hili ungelifanya kimya kimya huko Duce unaweza ku-shotlist angalau wadada watatu then ukaendelea na usahili kwa mtindo upendao otherwise humu nahisi itakuwia ngumu. Good luck!!
 
Mi naweza kukusaidia ukapata mrembo aliye tulia pale duce...sasa hujaweka vigezo unataka aweje? Alafu nikiwa mpiga pande kwako yaani mpiga cross utaniwezesha na mm? Maana kuna gharama kama vocha na vinywaji tunakaa pale nje ya uwanja wa taifa.
Mh!! Middle sio??!!
 
Mkuu hii imetulia
 
Nashukuru kwa ushauri..ila kwenda kuweka tangazo ni miyeyusho zaidi.ila nia yangu ni kuoa mwalimu ndo maana nimependekeza duke.

Kama nia yako ni kuoa mwalimu, vyuo vya ualimu ni vingi ungesema tu natafuta mchumba mwalimu, aua tuambie kwa nini Duke
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom