Natafuta mchumba hili aje kua mke wangu miaka 27-29

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Naitwa Hamisi,kijana wa kitanzania miaka 29,elimu yangu ni diploma,ni mfanyabiasha nahitaji mdada kwa ajili ya kua mke wangu napenda mdada anaependa maendeleo siyo wakutaka mashindano ya nguo mtaani awe na kazi elimu kuanzia diploma awe muislamu asiwe mrefu sanaa!coz me pia cyo mrefu sanaa,asiwe aliyewahi kuolewa na kuzaa,me cjawahi kuoa wala sina mtoto msichana anaehitaji ndoa pls tuwasiliane.
 
Afadhali unatafta mke,
Mi nilitafta mke nimpe mimba, cjapa!!! Wanawake wa jf ni mabahiliiiiiiiiiiiiiii......
Naitwa Hamisi,kijana wa kitanzania miaka 29,elimu yangu ni diploma,ni mfanyabiasha nahitaji mdada kwa ajili ya kua mke wangu napenda mdada anaependa maendeleo siyo wakutaka mashindano ya nguo mtaani awe na kazi elimu kuanzia diploma awe muislamu asiwe mrefu sanaa!coz me pia cyo mrefu sanaa,asiwe aliyewahi kuolewa na kuzaa,me cjawahi kuoa wala sina mtoto msichana anaehitaji ndoa pls tuwasiliane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom