Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Wasifu wangu
- Umri, miaka 28
- Urefu, futi 6.0
- Dini, mkristu
- Kazi, nimejiajiri
- Kipato, cha wastani
- Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..
Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.
- Umri usiozidi miaka 30
- Asiwe mfupi sana
- Elimu isiyopungua ya sekondari
- Awe anafanya kazi
- Umbo la wastani
- Sibagui rangi (race)
Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226
Nenda posta jioni, kama saa kumi na moja hivi ukiwa umevaa vizuri... usipopata mchumba basi mistari huna