Natafuta mchumba aliyetayari, upweke umenishinda

Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani

Tatizo unaogopa changamoto na sheshe la wanawake wakichagga,
 
Huna kazi unaleta vigezo, katika wanao subiri ajira we ni mtu wa ngapi? Una kigezo kipi cha kupatiwa ajira au kisa umetoka nyanda za juu, Sikuhizi mfuko mwanamke aolewi na degree.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom