Natafuta mchumba aliyetayari, upweke umenishinda

mtamaushi

Member
Mar 15, 2015
75
188
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani
 
Kwa hyo mchaga sio mtu au
 
Ubaguzi wa makabila pyeeee.... All the best lakini utampata wa nyanda za juu kusini
 
Yes kule nyanda za juu kusini wanaogopa sana wachaga yaani huwa wanaona wachaga kama siyo binadamu wa kawaida ni sawa na aliens.
 
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani

Mkuu hujajua tu. Pengine mungu alikupangia kuo mchaga. Kwahiyo unaposema hutaki mchaga. manayake unafundisha mungu. Anyway mungu akupe hitaji lako
 
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani
Mi nipo hapa, umenipata ila tutaanza uchumba ukipata kaz
 
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani
Nina vigezo vyote sema tatizo na wewe huna hela.
 
Njoo kwangu mie nikulishe madini unye utajiri. Utaogelea hela 24/7! Teh

N.B: Kama hauna 'chura' ya 4G, don't bother.

-Kaveli-
 
Wachaga hawatakiwi na ccm mpaka hawa wasiokuwa na kazi eti pia nae hamtaki mchaga. Hujui mke yupi atakutoa kimaisha unaweza kuowa unaedhania ndie akawa sie na yule unaedhania sie akawa ndie.
 
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka 26 kwa sasa ila sina ajira kwa sasa namsubiria mheshimiwa afungue dirisha la ajira nchini.
Dini yangu ni mkristo

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo;
Dini: mkristo
Umri: miaka 18-25
Kabila: lolote ila sio mchaga
Rangi: yoyote
Aliyetayar aniPm
Mengine tutazungumza baada ya kutafutana.

Natanguliza shukrani
Namba ya simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom