Natafuta mashamba ya kununua mahali ambapo naweza kufanya irrigation

Apr 5, 2012
21
13
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu
 
Mimi nina mashamba bagamoyo na msanga(chanika), yale ya bagamoyo nayauza laki 5 kwa ekari wakati ya msanga nayauza laki 7 kwa ekari. Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye 0769142586
 
Yapo karibu na mto??

Hapana mkuu, ila kuna chemuchemu karibu na ardhi inatunza maji kwa miezi mingi, pia kama unahitaji kwa umwagiliaji unaweza kujitengenezea kisima na ukayaleta maji kwa kutumia water pump.

Karibu.
 
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo
karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha
umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo
lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la
ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu

Mimi ninayo maeneo ya Kimanzichana, heka 1 sh laki 5. Yako karibu na mto na pia hata sehemu zisizo karibu na mto maji yanapatikana chini ya mita kumi kwenda chini. Nipigie kwa 0686555726
 
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu

akiharibiki kitu
usihangaike kununua shamba itakuwa expensive sana na unaweza kununua sehemu halafu mambo yakiharibika unakwama,

Njia rahisi nenda sehemu kama Moro, tafuta hati ya muda labda miaka kumi kulingana na level of investment na makubalioano na wana kijiji utapata eneo sahihi bila stress wala gharama kubwa, cha msingi wape incetives za hapa na pale including ku- extend miundo mbinu ya maji iwafikie na walio downstrem zaidi, tenga asilimia kadhaa ya mapato ya hilo shamba kila mwaka kwa ajiri ya kufidia ahadi ulizoingia nao. Ila hakikisha unapata angalau kuanzia heka mia mbili ili return iwe kubwa na uweze kuwafanyia kitu cha maana na wewe kutoka na kitu
 
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu

Mkuu usijilimit sana kwenye sehemu zenye mito mara nyingi hayo maeneo bei zake huwa ni kubwa sana unaweza pata sehemu ambayo haina mto na ukachimba kisima
 
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu
Nitafute kwa 0787371186. Nina shamba ekari 23. Ekari 12 inafaa kwa umwagiliaji. 11 iliyobaki inafaa kama utatumia mashine ya kusukuma maji. Lipo Kilosa-kijiji cha Msowero umbali wa km 6 toka barabara ya lami mpya ya kwenda Kilosa toka Dumila. Bei maelewano.
 
Ndg zangu wana JF,

Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.

Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.

Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu

Ndugu, kwa ajili ya shamba lifaalo kwa umwagiliaji nipigie 0767246127
 
Nina mashamba mafinga;
eka 20 kila eka laki tano tu;

Naamini kwa kilimo chako unachotaka
utafanikiwa sana, udongo haujachoka kabisa;

Pia hautatumia gharama kubwa kwa kuwa maji
yapo mengi.
 
Nina mashamba mafinga;
eka 20 kila eka laki tano tu;

Naamini kwa kilimo chako unachotaka
utafanikiwa sana, udongo haujachoka kabisa;

Pia hautatumia gharama kubwa kwa kuwa maji
yapo mengi.
Sehemu gani ya Mafinga?.
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
Back
Top Bottom