kijanamwingine
Member
- Apr 5, 2012
- 21
- 13
Ndg zangu wana JF,
Mamboz....
Naamini ninyi nyote mpo poa.
Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa kwa kilimo na bei ndio itaamua ninunue eneo la ukubwa kiasi gani.
Asanteni ndugu zangu,nasubiri kusikia toka kwenu