Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40

Inevitable

Member
Apr 27, 2012
82
159
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante
 
Umeandika kiungwana sana Mkuu. Ngoja tuulizie kwa tunaowajua.
 
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante

Weka mawasiliano yako,tukupigie
 
Kama utapanda Kigamboni hiki hapa kwenye hiki kibao. Kimepimwa kinayo hati. Ila sasa ndio usogee mpaka Mil 70. Karibu na kwa Rc wetu aliyemaliza muda mzee wa amsha amshaView attachment 1619135
IMG-20200723-WA0018.jpg
View attachment 1619133View attachment 1619132View attachment 1619134
 
Kuwa makini.hakikisha unapita sehemu zote za serikali kujiridhisha usije ukapigwa
Wewe ndio utamwingiza mkenge na wazo la "pita sehemu za serikali kujiridhisha,"

Ni wapi huko sehemu ya serikali ambapo wana listi ya wamiliki wa viwanja nchini ambapo ukitaja kiwanja watakwambia hapa ni pa Juma Mgosi, mwenyewe hauzi, wapi hapo, kwa Afisa Mtendaji ???

Watu wasingekuwa wanalizwa. Pita sehemu ya serikali my foot!

You have a better shot asking the neighbors than the government
 
kwenda ardhi kujua mmiliki halali wa kiwanja.kuwaona viongozi wa eneo Hilo na kuuliza
Pia kuwauliza majirani wa hapo.

Kuna wakati watu wananunua maeneo bila kuuliza majirani.kumbe watu wanajua Kama unaenda kupigwa Ila sababu haujawauliza unajifanya mjuaji wanakuacha upigwe.

Kuna mtu huku kauziwa eneo la barabarani kumbe ni eneo la tanroads.
Ameanza kujenga.kaletewa stop order na tanroads hapo hakuna KESI.ila angetuuliza tungemtonya fasta kuwa hapo NI msala
Wewe ndio utamwingiza mkenge!

Apite sehemu za serikali kujiridhisha?

Ni wapi huko sehemu ya serikali ambapo wana listi ya wamiliki wa viwanja nchini ambapo ukitaja kiwanja watakwambia hapa ni kwa bwana Juma Mgosi, mwenyewe hauzi, wapi hapo, kwa Afisa Mtendaji ???

Watu wasingekuwa wanalizwa basi!

Sehemu ya serikali my foot!

You have a better shot asking the neighbors than the government
 
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante
wasiliana na namba ana eneo goba 0715245693
 
Wakuu,

Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe.

Asante
Mabwepande kipo
 
kwenda ardhi kujua mmiliki halali wa kiwanja.kuwaona viongozi wa eneo Hilo na kuuliza
Pia kuwauliza majirani wa hapo.
sasa kama ardhi wanajua mmiiki halali wa kiwanja kwa nn unaenda tena kwa majirani na "viongozi wa eneo hilo"... ?
 
Unatakiwa ujiridhishe kote .
Nenda ardhi kaulize Kama Hilo eneo serikali Wana mpango nalo ,uliza pia viongozi wa mtaa au Kijiji na majirani pia.
Kuna mtu kauziwa eneo la tanroads.
Ameshaanza kujenga na ukuta kabisa wenyewe tanroads wakaja kumpa stop order.ila sisi watu wa pale tulikuwa tunajua kila kitu kuhusu lile eneo.
Ila sababu alikuwa anakuja na madalali wake anakaa kwenye gari tu.sisi majirani zake anatuona hatuna maana.huyu mtu utamsaidia vipi?.
Kapigwa na madalali,alafu kapata hasara kununua matofali,mchanga, cement,kokoto zile nyeusi,kuwalipa mafundi,alafu ukuta unabomolewa
sasa kama ardhi wanajua mmiiki halali wa kiwanja kwa nn unaenda tena kwa majirani na "viongozi wa eneo hilo"... ?
 
Unatakiwa ujiridhishe kote .
Nenda ardhi kaulize Kama Hilo eneo serikali Wana mpango nalo ,uliza pia viongozi wa mtaa au Kijiji na majirani pia.
Ardhi wakishakwambia serikali hawana mpango nacho unaenda kwa viongozi wa kijiji na majirani kuwauliza kama na wao wana mpango nacho ?
 
Back
Top Bottom