Natafuta Kiwanja Arusha

Venus

Member
Oct 12, 2011
12
0
Ninatafuta kiwanja cha size (30m*40) minimum size au shamba Arusha. Nilikuwa nataka sehemu ambayo ninaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki kwaajili ya kuweka migomba na n.k. Naitaji sehemu isiwe mbali sana na mji na sehemu iliyotulia. Gharama isizidi 15mio. kama unacho naomba unipm hili tuwezekuwasiliana. Gharama inaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutegemea na a
 
Mkuu unaweza pata Ekari moja kwa Tsh 15m but negotiable! maeneo ya Arusha wasiliana nami kwa 0769 002975
 
Back
Top Bottom