Natafuta kiwanja Dodoma

Gloriamagret

Member
Jun 12, 2023
47
155
Kisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000.

Sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center.

Kiwanja kiweze kujenga vyumba 4 kiwe na Ukubwa mita 500.

Ofa yangu 5000.000 .milioni tano tu kama unacho toa namba tufanye biashara
 
Kisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000.sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center.kiwanja kiweze kujenga vyumba 4.kiwe na.U kubwa mita 500.ofa yangu 5000.000 .milioni tano tu.kama unacho toa namba tufanye biashara
Fanya Kuni pm fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom