Umeshapa hiyo kazi? Kama bado ni PM haraka!Sio wote jaman wako hivyo unavyodhan
jaman naomben watanzania muwe seriouz pliz kama hauko makin huna nafas hiyo naomba msinipigie cm jaman hiy namba ni kwa wale tu wanao jua wana hiy nafasi tu jamaniii
hawa wsichana waliomaliza form four ni wasumbufu sana mimi nilishawahi kuwa nao yaani wanajifanya wanajua kila kitu ukiwaelekeza wanajiona wajuaji sana, kutwa wallikua wanashinda kwenye TV, computer mara oh nikasome sijui nini shida tupu. mi niko tayari kukulipa hiyo hela ila shida niliyoipata siitaki tena
Hi there,
Nina bosi wangu anatafuta msichan wa ndani na analipa zaidi ya kiwango unachohitaji,tatizo wewe unataka dar na yeye yuko Arusha.
ni kweli kaka yangu mim nina credit mbili natafuta tu fedha kaadhaaaa ambazo zitanisaidia kwenda chuo ndo maaaana ninataka kupata kazi angalau nikusanye kusanye nniende shule hata mmi ninataka sana kuendelea na masomo pia mkoa nimebadilisha sas maaana naona sipata kazi hadi sasa na mda unaenda niliplan mwez wa kumi na mbili nianze ila sidhani kama nitafanikiwa

Issue yako imenigusa sasa,mwanzo nilifikiri ni utani,mana humu jf bhana,ok dar kwa nani? Nijibu hili swali then i will call u,kwan unataka uhaugirl tu? Ukipatiwa kaz ingne hufanyi?[/QU hata nyingn nafanya haina tatiz bora nipate kile ambacho nakidhamilia kufikia dar kwa wifi yang mke wa kaka yangu