Natafuta kazi za ndani

namnyak

Member
Nov 12, 2011
59
8
Habari za saizi
Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 70-80 kwa mwezi si chini ya hapo familia ya kikristo yenye upendo na amani asiwe mtu wa kunyayasa bali mwenye upendo na mwajiriwa ili niweze kufanya kazi wa umakini zaidi awe na mkataba wa kazi namba ni 0657018209 nia ujuzi na pia nafanya kazi zangu kwa umakini na uaminifu na kumfanya mwajiriwa asiwe na wasiwasi awapo kazini nina uelewa wa nini ninachokifanya pia nina ujuzi wa kufanya ya house keep kwa miaka mingi sasa .
Naomba wadau pia mnisaidie kutafuta nafasi hiiiiiiiiiiiiii.

Asanteni sana mtu yeyeote asisite kuwasiliana nami kwa namba hiziiiiiiii 0657018209
 
huo mshahara unapungua?can u take care of a baby?n can u live at ur employer's place?
 
Habari za saizi
Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 65-70 kwa mwezi familia ya kikristo yenye upendo na amani asiwe mtu wa kunyayasa bali mwenye upendo na mwajiriwa ili niweze kufanya kazi wa umakini zaidi awe na mkataba wa kazi namba ni 0657018209 nia ujuzi na pia nafanya kazi zangu kwa umakini na uaminifu na kumfanya mwajiriwa asiwe na wasiwasi awapo kazini mkubwa sana nina uelewa wa nini ninachokifanya pia nina ujuzi wa kufanya ya house keep kwa miaka mingi sasa
Naomba wadau pia mnisaidie kutafuta nafasi hiiiiiiiiiiiiii.

Asanteni sana mtu yeyeote asisite kuwasiliana nami kwa namba hiziiiiiiii 0657018209

Mshahara huo mdogo sana...atleast omba upewe 100.
 
Ningekuajiri my dia ila,
  • Mshahara huo siwezi kukulia
  • Siwezi kujua backgound yako, naogopa kuwa mimi mfanyakazi wa ndani na wewe kuwa bosi wangu mana wapo ma house girl wachawi, usiku nafanya mimi kazi ye ndo anakuwa mother house.
Kwa elimu yakp ya form four unaweza kuwa messenger/office clearner/office attendant. Jaribu hizo zitakufaa zaidi, au kama una international passport, kuna mwanamke mzungu anatafuta house girl wa kwenda nae kwao. Nenda zoom utakuta contact zake
 
huo ni ka wale wasio na watoto wadogo maana mtoto kumlea pia ni kazi nyingine hiyo
 
kweli sina hiyo tabia hata kidogo kweli natafuta kazi kama hizo nakosa kila ofisi sikuhizi uwe na mtu wa kukusaidia kupata na kwenda ulaya naogopa mwenzangu siwez kumuamini huyo mzungu nisije nikapata matatizo zaidi nategemewa na familia yangu pia huo mshara ni sawa tu jaman maaan na mim pia nategemwa home kwetu na pia sina hizo tabia hata kidogo na nipo tofauti na jinsi unavyofikiria wengine asante
 
je kama sijaoa naruhusiwa kuwasiliana nawe maana hivyo vigezo nakidhi ila mshahara tutajadiliana kwani sina mtoto wala familia yoyote
 
mbona wew hujaweka ok nitaweka usihofu au kuna njia nnyingiza kupata picha cha msingi tu unahitaaji
 
ni sawa ila sas jamani usiwe unaishi peke yako at least na wengine itakuwa nzr zaidi
 
kwani wew upo wapi

Nakaa Dar, nahitaji mfanyakazi wa aina yako, ila tatizo ni hiyo ngazi ya msharaha ambayo ume-edit tena kutoka 65,000/= na kuwa 70,000/= - 80,000/=. Ila kumbuka kama unakaa kwetu tunaishi kama mtu na mdogo wake, ukiwa na shida unasaidiwa, ukiugua unaenda hospital kwa gharama zetu.
 
na hiyo ndo hasa naitaji kwa mtu anaye elewa unjua nin nilisema hivyo kwa kuwa kwa familia zingine they even don,t care about that sasa for that case it better useme mshara mkubwa ili kama wakikaa aa kuhusu vitu kama hivyo ujue unafanyaje maaana watu hawafanani wanachojua ni kuwanyanyas amahouse girl wakati ni watu muhimu na wana haki kama wafanyakazi wengine.
 
Kama umeweza kutuandikia hapa tangazo la kazi, nina wasiwasi utashinda kwa computer yangu au tv ukifuatilia tamthilia mbali mbali ukisurf tu na kusahau wajibu wako!
 
na hiyo ndo hasa naitaji kwa mtu anaye elewa unjua nin nilisema hivyo kwa kuwa kwa familia zingine they even don,t care about that sasa for that case it better useme mshara mkubwa ili kama wakikaa aa kuhusu vitu kama hivyo ujue unafanyaje maaana watu hawafanani wanachojua ni kuwanyanyas amahouse girl wakati ni watu muhimu na wana haki kama wafanyakazi wengine.

O.k. Kama hilo unalielewa, fikiria kupunguza huo mshahara maana tunawalea wafanyakazi wetu kama wadogo zetu, mahitaji yote anapata kama sehemu ya familia na kwa kuwa cc wote ni watumishi, muda mwingi mipango ya nyumba inakuwa chini yake.
 
hamna kitu kaama hicho inamaaana hata wew hpo kazini kwako japo wamekuwekea internet utakuwa unasahau kufanya kazi inayokupa kula na kuishi na kuanza kufanya yasiyohusika na kazi zako kila mtu anaheshimi kazi inayo mpa jeuri mtu anachezea mshhara na sio kazi baba yangu kaka mtu unajua unachofanya hutasahau kilichokupeleka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom