Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

AY 5225

JF-Expert Member
Jul 16, 2023
484
1,135
Heshima yenu wakuu.

Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku.

1. Ninaishi Kigamboni

2. Umri wangu ni miaka 24

3. Nina bachelor's degree ya management of social development

4. Sichagui kazi

5. Mzoefu wa kuendesha gari japo sina driving license

6. Nina cheti cha JKT

Kitaaluma, nina working experience in;
• Office management
• Administrative assistance
• Project planning & implementation
• Customer serving
• Warehouse operations
 
Heshima yenu wakuu.

Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku.

1. Ninaishi Dar

2.Umri wangu ni miaka 23

3. Nina bachelor's degree ya management of social development

4. Sichagui kazi

5. Mzoefu wa kuendesha gari japo sina driving license

6. Nimepita JKT

7. Nna experience ya procurement and sourcing

8. Ware house maintenance

9. Gym trainer

10. Door to door deliveries
Unaweza kufanya kazi kama loader maana barharesa pale Buguruni ma loader wanalipwa
Elfu 10 kwa siku .
 
Sikia. Tafuta mtaji wa kununua spika moja kubwaaa. weka flash za nyimbo za mazoezi. nenda kwenye maofisi ya serikali au taasisi mbalimbali. pata mwenyeji pale akutangalize kuwa ni mwalimu wa mazoezi na unaweza kutrain watu wapunguze vitambi eneo la ofisini bila kuhangaika kwenda Gym maana huko kuna watu wana vitambi, pressure, stress za kumwaga lakini hawana muda wa kwenda gym. anza kazi. njoo nishukuru.
 
Mkuu kuna taasisi zinaweza kuruhusu jambo ili kufanyika kwenye premises zao hapa Tanzania? Na kama unaijua hata moja, naomba muongozo mkuu.
 
Ndio zipo na zinaongezeka kila siku. Watumishi wakijiunga wanaomba wenyewe eneo kwa mwajiri wao na wanakulipa wao kila siku mazoezi yanaendelea. Shida ni kumpata mwalimu mwaminifu na anayejua anafanya nini. kuna mmoja tulimpata akaaanza vizuri sana; akanogewa akaanza kutongoza ovyo na kushika wamama mat..ko... tukamtimua

Pia zipo ambazo zinamlipa mwalimu kwa ajili ya watumishi wake.
 
Asante sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri huu. Barikiwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom