Natafuta kazi yeyote halalii Niko Mwanza mjini

Mie ni kijna miaka 24 ,mwenye hofu ya Mungu na mpambanajii
Mie ni mwenyeji wa Kahama , nipo mwanza kuanza maisha rasmi baada ya kumaliza chuo dar es salaam na kupambana sana ,
nimefanya biashara lakin bado sikufanikiwa ,

1, nilifanikiwa kufungua kampuni ndogo ya usafi wa majumbani ,maofisin namahospitalini , ilikufa kutukana na kushindwa kuendesha sabab ya mtaji ulikuwa. Mdgo
2,nimefanya biashara ndogo ndogo nyingi
Nimeuza asalii mbichii nimetembea Sana jijini dar se salaam
Nimeuza vimfuko
Nimeuza viatu vya mtumba
Udalali nimefanya
Na nyingine nyingi

Sasa nimehamia MWANZA baada ya kufeli dar es salaam

Kielimu :nina diploma marketing in public relations

Uzoefu wa kazi tofauti tofauti

1, nimefanya kazi ya store keeping kwa miez mitano katika duka moja hapo kariakoo jijin dar es salaam

2,nimefundisha masomo ya kiingereza. na hesabu ( darasa la kwanza Hadi O level)

3,nimewahi kuendesha account ( social media ) za moja ya msanii hapa bongo

4, nimewahi uza duka la vifaa vya keki

KAZI NAZO HITAJI
1,Kufundisha ( masomo ya kiingereza na hesabu )
2, kuuza duka, au kusaidia dukani
3, marketing officer
4, store keeper

Note : kazi yeyote halalii nafanya yenye malipo kuanzia 5000/= kwa siku

MUNGU NI WETU SOTE , ALIYEKUPA WEWE NA MIE IPO SIKU ATANIKUMBUKA

NAWASILISHA !!!!!!!!! 0626456047
Mkuu mimi sina kazi yakukupa ila Hapo kwenye 5K kwa siku umezingua mkuu...hata kama una shida usiji under value mwisho wa siku mtu akikupa hiyo kazi hiyo hela haitoshi kutokana na nature ya kazi (inahitaji uvae smart, ule vizuri ili uwe presentable, hujaweka vocha, kababy na fungu la ndugu) kiufupi shida zitaendelea kama kawaida.
 
Hebu cheki na mchina huyu anayejenga road ya igoma buhongwa.akajaza wakenya inabidi wale wakenya waletewe fujo waondoke Mana uhamiaji wakija pale kwa mchina wanatulizwa Kama mtt wakenya wanaachwa. Mshika kibendera hata unaweza ukafanya.ama ukawa msaidizi wa saveya malipo ya kibarua saiti ya ujenzi unaanzia 16500.
Fika pale upambane Ni nchi yako na wewe una mamlaka nayo.
Mbunge aliambiwa Ila bado nawaona wakenya wapo. Inabidi Hawa washughulikiwe na wananchi Mana kiongozi Ni mtu mmoja tu anaweza akatongozwa akakubalika
Wabunge wasenge sana aisee yaani me huwa hata sioni wanachofanya hii inchi kuna watu wanalipwa kuwa wapumbavu
 
Mkuu mimi sina kazi yakukupa ila Hapo kwenye 5K kwa siku umezingua mkuu...hata kama una shida usiji under value mwisho wa siku mtu akikupa hiyo kazi hiyo hela haitoshi kutokana na nature ya kazi (inahitaji uvae smart, ule vizuri ili uwe presentable, hujaweka vocha, kababy na fungu la ndugu) kiufupi shida zitaendelea kama kawaida.
Ni sawa lkn brother hii yote unatokana na ugumu wa maisha
 
Bado cjapata kazi wakuu ,wa mwanza. Naombeni kazi
0626456047
 
Sijachoka kuwaomba kazi wakuu , naombeni mnioatie kaziyeyote halalii Niko jijini mwanza

0626456047

Mungu awabarikii
 
Hebu cheki na mchina huyu anayejenga road ya igoma buhongwa.akajaza wakenya inabidi wale wakenya waletewe fujo waondoke Mana uhamiaji wakija pale kwa mchina wanatulizwa Kama mtt wakenya wanaachwa. Mshika kibendera hata unaweza ukafanya.ama ukawa msaidizi wa saveya malipo ya kibarua saiti ya ujenzi unaanzia 16500.
Fika pale upambane Ni nchi yako na wewe una mamlaka nayo.
Mbunge aliambiwa Ila bado nawaona wakenya wapo. Inabidi Hawa washughulikiwe na wananchi Mana kiongozi Ni mtu mmoja tu anaweza akatongozwa akakubalika
Asante.. mbunge wa hapo ni nanj? Namuende hewani bnafsi
 
By the way kwenye viwanda vya Nondo watu wanaanza Leo kesho hawarudi na huwaoni tena ila kama unashida pambana tafuta nauri nenda Tanga Mjini sehemu inaitwa Amboni kwa liyemba kwenye kiwanda cha chokaa pale kazi ni uhakika na watu wanakomaa au mcheki Spartacus boy akuunganishe kwenye mashamba ya chai Iringa nauri ni 60,000 tu kutokea Mwanza.
Shukran boss nitaenda
 
Bado wakuu sijapata kazi kwa yeyote mjini mwanza mwenye kazi nipatie mie ni mwaminifu Sana na mchapakazi

Naweza Kufundisha mathematics kuanzia standard 1 Hadi form four vzr Sana
 
Naombeni kazi wakuu hamtajutaa kabisaa ,

Shopkeeper
Store keeper
Teacher

Na kazi yeyote halalii nafanya
 
Wadau naombeni kazi maisha ni magumu

Wadau nishiken na mie mkono nisogee mbele.
 
Wakuu wa Mwanza naombeni kazii Hali sio nzuri hata kidgo

Kodi inakaribia kuisha Sina pa kushika naombeni msaada wenu
 
Wakuu bado sijapata kazi na Kodi inakaribia kuisha.

Naombeni kazi Niko mwanza
 
sikukatishi tamaa ila mwanza ni kugumu mnoo, mwaka juzi nilitoka dodoma kuja kujaribu maisha hapa ila najutia sana huo uwamuzi wangu mpaka kesho, kazi nialioambulia ni kuwa saidia fundi kazi ambayo naifanya kishingo upande sana kwani ni ngumu sana ukilinganisha na malipo lakini pia mazingira ya kazi sio salama ,mafundi pia wanajiona wao ndo matajiri watakutuma kila kitu mpaka kuwaoshea vifaa vyao vya kazi pindi kazi inapofikia tamati kwa siku husika
Unaongea ukweli mkuu mwanza panahitaji akili ya ziada ili kusavaivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom