Kwa leseni yake hiyoWahi mwendokasi ya Mbagala kuna mabasi 300 yanakuja
Mkuu mi muhanga pia wa ajira,na ni Dereva.....niko kamili naweza pia kukutafuta tarehe 20 hiyo.Kama una cheti cha form 4 nicheki Tarehe 20 mwezi huu
Elimi ndio kitugani mkuu?.Mimi Ni Dereva Natafuta Kazi Ya Udereva
Nipo Dar Es Salaam,Kijichi
Leseni Yangu Ni
Class C1,E,D
Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili
Cv
(1)Elimi Form 4 cheti
(2)Cheti Cha Udereva
Umri wangu miaka 26
0756912507
View attachment 2582373