Natafuta kazi, Elimu ya Kidato cha Nne

Habari za Leo wapendwa, Mimi ni msichana mwenye miaka 24 elimu yangu ni kidato cha NNE .
Kwa heshima na taadhima naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kaz inayoendana na elimu yangu. Nina Basic certificate ya Hotel Management .
Pia Nina uwezo wa kutumia computer . Kazi ambazo Nina uzoefu nazo ni pamoja na;
1. Receptionist( Nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu).

2: Cashier kwenye gaming machines kwa mwaka 1.

3: Promo girl, sales and Promotion.

Lakini pamoja na hayo kazi zingine ambazo ni halali naweza kufanya kama usafi maofisin n.k.

NATANGULIZA SHUKRANI .

NIPO DAR ES SALAAM. MUNGU AWABARIKI SANA.

Ni pm namba yako kama bado hujapata kazi,
 
Kwa NEEMA na REHEMA za mwenyezi MUNGU ukubariki ufanikiwe hitaji lako mpendwa wangu,wetu.
 
Back
Top Bottom