Natafuta kanisa la kiroho

Ndugu zangu wana MMU mie ni mgeni kidogo hapa dar natafuta kanisa la kiroho la kwenda kuabudu, kutokana na tuhuma zinazoendelea ambazo sio nzuri kiukweli kuhusu haya makanisa nimekuwa nikijiuliza kila siku kanisa lipi niwe naenda . naombeni kwa wote wanaoyaelewa haya makanisa anijuze
Soma Yoh 4, kisa cha Yesu na mwanamke Msamaria. Yesu alimwambia waabuduo halisi, watamwabudu Mungu ktk roho na kweli, na Mungu anawatafuta watu kama hao (4:23) na si wanaomtamfuta makanisani
 
Watu wengine bana....mnajifanya kutoa ushauri wakati kutoa ushauri hamjui!!! Wataalamu wa kutoa ushauri ni lazima tuisome saikolojia ya mwomba ushauri kwanza; nyie vp?! Jamaa amesema yeye ni mgeni hapa Dar lakini sio mgeni wa hapa JF. Anafahamu fika nini a-post wapi.....mnazani amekosea?! Amekuja jukwaa la malavidavi na kuomba ushauri ni kanisa gani aende...nyie mnamwambia habari za Kakobe, Lwakatare sijui na akina sijui...!!! Kutokana na utaalamu wangu, yeye anatafuta kanisa ambalo baada ya sala, waumini wanafumba macho na kunena kwa vitendo; ala! Kwani hamjui kwamba ni matokeo ya dhambi ndipo mwanadamu akaanza kuvaa nguo?! Ina maana mmesahau ni baada ya Braza Adam kumega ki2 ndipo wakajishtukia na kuamua kutupia gwanda?! Hadi mtafuniwe kila ki2!!! Mkuu, ukilipata nami nitonye nikajoin!
 
SLOAM - MBEZI MAKONDE kwa NABII ELIYA ila ujiandae kuacha yote yanayokuponza kufanya dhambi. Mungu akutatangulie

Misa ni kila siku saa 11am - 12am ya pili saa 12am - 1am asubuhi zaidi ya hapo kuna maombezi na cancelling siku nzima mpaka saa kumi jioni tena kuna misa mpaka saa mbili usiku. Kauli mbiu yao ni soma neno tenda neno.

Mimi nategemea kuanza kesho 25/1/2012 karibu utafunguliwa

kama wewe ni massawe,lema,m
mushi nk nenda.....kuna ukabila pale
 
Back
Top Bottom