Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya Hospital

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,477
3,112
Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!!

Mkoa wa Dar es salaam
Vigezo!
  • Gorofa 3 au 2 au 1
  • vyumba 25 na kuendelea
  • Parking space
  • Panafikika kwa urahisi
  • Iwe sehem ambayo watu wa class zote wataweza kupata huduma
  • Isiwe maeneo ya Masaki, au oysterbay
Kwa maelezo zaidi karibu PM
Shukrani!
 
Unataka watu wa class zote halafu sisi wa Masaki unatubagua.!
Sehem itakayofikika kirahis masaki pamejificha kidogo walio wengi kama wa magomeni, sinza inaweza ikawa changamoto maana uwezo pia unatofautiana..Wa masaki inakua rahis sabab wengi wana usafir..Itakayowaleta ni huduma
 
Nafahamu mtu alikuwa anatafuta mtu wa kupanga jengo lake Tabata Mawezi. Ukiwa interested nikupe contacts zake.
Jengo la ghorofa moja lakini ni eneo ambalo utapata watu wengi wenye kuhitaji huduma ya afya.
 
Nafahamu mtu alikuwa anatafuta mtu wa kupanga jengo lake Tabata Mawezi. Ukiwa interested nikupe contacts zake.
Jengo la ghorofa moja lakini ni eneo ambalo utapata watu wengi wenye kuhitaji huduma ya afya.
Kiongozi naomba Contacts zake!Bado nina changamoto ya jengo!! Unaweza cheki PM! Nitashukuru
 
Kama kuna mtu anataka kujenga hospital au dispensary mkoa wa Geita, aje nimuoneshe eneo apige hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom