Fundi umeme wa magari natafuta kazi

stoplight

Senior Member
Mar 30, 2021
177
267
Habari zenu humu,

Mimi ni kijana wa kiume umri wangu 24 ni fundi umeme wa magari nimejiajiri ila game ni ngumu sana huku mtaani hvyo natafuta kampuni au taasisi yoyote yenye uhitaji na fundi umeme wa magari pia nipo tayari kufanya kazi popote na pia kwa mwenye kazi hata nje ya taaluma yangu pia nina uwezo wa kusimamia magari, mradi pia ni fundi ambae ninayo mashine ya kupimia magari( Diagnosis machines).

Hivyo nimekuja kwenu kuomba ajira kwa wenye fursa pia kama ww ni dalali wa kazi na unayo nafas ya kazi usisite nipigie 0627 591 806 malipo yako baada ya kupata kazi nitakupa pia kwa wenye uhitaji wa fundi wa umeme wa magari nipo nafanya kazi masaa 24 muda wowote na mahalii popote.

Karibuni pia kwa services za gari zenu zenye matatizo ya umeme nipigie 0627 591 806 kwa kunipa kazi na kwa ajili ya mate matengenezo ya gari pia kama utahitaji msimamizi wa gari zako ili ziwe salama kwa muda wote pia me ni dereva wa pikipiki magari pia nina leseni yenye madaraja A A2 B D na E

Napatikana Dar es Salaam ila popote nafanya kazi

0627 591 806 piga au sms ntakujibu
 
Ok poa usipo nipata kwenye nmba hio nicheki 0653 271 318 maana namba hio ya halotel toka jana inazingua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom