Natafuta frame/mlango wa kukodi

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
heshima kwenu, natafuta frame/
mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar
es salaam. Ikiwa ni posta, akiba,
mnazi mmoja, samora na
kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya
mjini yenye movement, niko tayari kupangisha kwa kodi isiyozidi laki
sita, ila kama nitapata eneo lenye
kuridhisha zaidi naweza kuongeza
nguvu.
Napatikana kwenye 0688 941 186
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom