Natafuta frame/mlango wa kukodi

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
heshima kwenu, natafuta frame/mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar es salaam. Ikiwa ni posta, akiba, mnazi mmoja, samora na kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya mjini yenye movement, niko tayari kupangisha kwa kodi isiyozidi laki sita, ila kama nitapata eneo lenye kuridhisha zaidi naweza kuongeza nguvu.
Napatikana kwenye 0688 941 186
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom