VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 505
- 388
Mkuu nisaidie kiasi cha dose/dosage ya dawa hiiKautafute mshubiri..Aloe vera unatibu pia malaria
Mkuu nisaidie kiasi cha dose/dosage ya dawa hiiKautafute mshubiri..Aloe vera unatibu pia malaria
Kifo kitakuumbua ndugu yangu,madawa ya kienyeji ya nini?nenda hospitali nzuri achana na hospitali uchwara!Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.
Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.
Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Kuna moja ya kihaya nikifika home nitaisoma jina ndo huwa natumiaWakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.
Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.
Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Mkuu nisaidie kiasi cha dose/dosage ya dawa hii
kujiko kimoja kwenye glas moja ya maji ya vuguvuguMkuu inatakiwa kuweka kiasi gani cha mlonge uliosagwa kwenye glas moja ya maji?
Angalia post #46 nimemjibuWhat is the dosage?
tuko pamoja mkuuAngalia post #46 nimemjibu
Fafanua mkuu malimao unayafanyaje?Malimau
Ebu nielekeze kuhusu dose/dosage yake mkuuIPO maduka ya asili.ni ya unga.chungu kinoma.ila ni dawa nzuri
Naona bangi na izo petrol unazozivuta, sasa zinakupeleka kubaya kijana, angalia wasikuokote mfelejini, ukiwa umefumuliwa marinda!!!Kula kinyesi chako mara tatu kwa siku tatu
Mboga hiyo wewe!majani yanaitwa mchunga ni chakula cha sungura.
Nenda ukanunue zandu, dawa ya kienyeji ya kihindi!Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.
Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.
Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Ndo Aloe Vera Yenyewe sasa icho kilugha kama ni Mchaga Utakuwa UmenisomaHiyo salehe ishofu inapatikana wapi mkuu, nielekeze
Iyo dawa ya kihaya inaitwa MUSHANA,ipo ktk maduka ya dawa za asili kiukwel inasifika sana japo cjawahi itumia lkn nmepata cfa zake, me natumia mchanganyiko huu hapa :<br />_Chukua majan fulani yanaitw mchai chai ykujaa vganja viwil,limao 1 lilokomaa likate vipande vinne bila kulimenya wala kulkamua, chkua tangawiz zakutosha zikate Kate bila kuzimenya,chukua lita 1 ya maji changanya na huo mchanganyiko kisha chemsha haswa hadi upate kuanzia glass 1 au zaid,chuja vzr na unywe huo mchanganyiko Mar 1 kwa cku, km Malaria kal tumia mar1 kwa ck ndan ya ck 5,km co kal bc tumia ck 3 au hadi utakapoona uko fresh. <br />_Ni dawa nzuri sana, kwa uwezo wa Mungu utapona kabsa na utazsaau dawa za wazungu. <br />Nyongezaendelea sana kutafuna vitunguu saumu mara kwa mara, ni kinga nzuri sana.Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu malaria za kienyeji.
Ipi dawa ilio bora, maana hizi dawa za hospital, nahisi kama hazisaidii na zingine ukizitumia baada ya upate nafuu ya kupona ndio zinakuchosha kabisa mwili saa nyingine mpaka appetite ya kula inapotea mdomoni.
Sasa kama yupo mtaalam wa dawa ya malaria za kienyeji naomba anielekeze nawasilisha huu uzi kwenu wakuu kwa heshima na taadhima itifaki imezingatiwa wakuu.
Mungu akubariki mkuuIyo dawa ya kihaya inaitwa MUSHANA,ipo ktk maduka ya dawa za asili kiukwel inasifika sana japo cjawahi itumia lkn nmepata cfa zake, me natumia mchanganyiko huu hapa :
_Chukua majan fulani yanaitw mchai chai ykujaa vganja viwil,limao 1 lilokomaa likate vipande vinne bila kulimenya wala kulkamua, chkua tangawiz zakutosha zikate Kate bila kuzimenya,chukua lita 1 ya maji changanya na huo mchanganyiko kisha chemsha haswa hadi upate kuanzia glass 1 au zaid,chuja vzr na unywe huo mchanganyiko Mar 1 kwa cku, km Malaria kal tumia mar1 kwa ck ndan ya ck 5,km co kal bc tumia ck 3 au hadi utakapoona uko fresh.
_Ni dawa nzuri sana, kwa uwezo wa Mungu utapona kabsa na utazsaau dawa za wazungu.
Nyongezaendelea sana kutafuna vitunguu saumu mara kwa mara, ni kinga nzuri sana.