Natafuta chuo cha ualimu wa shule ya msingi (private)

Chaka

Member
Nov 13, 2008
36
6
Habari za leo wana Jamii Forum. Naomba kama kuna mtu anafahamu Chuo Chochote cha ualimu wa Shule ya Msingi anijulishe. Nahitaji kumpeleka dogo ambaye amemaliza O Level. Nitashukuru kama nitapatiwa taarifa zifuatazo;
Jina la Chuo, Ngazi (Cheti/Stashahada), Karo na mengineyo.

Asanteni sana.
 
Muhimu kwanza asiwe chini ya Div.IV 26pts-Tanga kuna Chuo kinaitwa Ekenford,Kule Mbeya kuna chuo cha Kanisa Uyole,Dar kuna vyuo kibao, kimojawapo ni Kimara Baruti,kingine PEN- Kariakoo tena karibu na soko Kuu,Ilala,na kingine kule Mbagala,St Mary Tabata nk.Ada ilikuwa 1.2Mil. kwa mwaka hiyo ilikuwa mwaka juzi sina uhakika kama zimepanda zaidi.
 
Habari zenu wanajamii.samanini naomba yoyote anaye fahamu chuo cha ualimu wa chekechea.pia na ada yake.na wanachukua kuanzia divishen ngapi.
 
Greenbird college kipo moshi kilimanjaro, ualimu kuanzia chekechea mpaka sekondari. Nilimaliza pale mwaka jana. Ada kwa ualimu msingi ngazi ya cheti ni 3mil kwa miaka miwili lakini ada imegawanywa kwa vipindi vinne kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom