Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,026
- 12,335
Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana.
Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu.
Elimu ya bongo kwa Sasa ukisha jua kusoma, kuandika na kuhesabu tayari umekwisha maliza shida zote za bongo.
Kundi kubwa huko sekondari na vyuoni hawavuni kitu chochote cha msingi zaidi ya makapi ni kundi dogo sana ndilo linatoka na chochote kitu.