Mwenge ni kubwa sijajua mwenge unayoisema wewe ni mwenge ipi ya kukosa chumba cha elfu 60?Hiyo bei tafuta pugu mwisho,mbezi luisi,tandale,mbagara,kigamboni,buguruni marapa,mnyamani,tabata dampo,kigogo,vingunguti,tandika,temeke mikoroshini,zakiemu,tabata segerea,mwanyamala,popo bawa magomeni na n.k.
Mwenge nyumba nyingi zipo juu tena chumba kimoja ugusi
Mlalakua hapo vimejaaHiyo bei tafuta pugu mwisho,mbezi luisi,tandale,mbagara,kigamboni,buguruni marapa,mnyamani,tabata dampo,kigogo,vingunguti,tandika,temeke mikoroshini,zakiemu,tabata segerea,mwanyamala,popo bawa magomeni na n.k.
Mwenge nyumba nyingi zipo juu tena chumba kimoja ugusi
Nenda rufungira hapo au mpakan , uliza boda boda madalali wa vyumba walipo watakupeleka, leo leo unapataMwenge ni kubwa sijajua mwenge unayoisema wewe ni mwenge ipi ya kukosa chumba cha elfu 60?
Mlalakuwa sio Mwenge. Yeye anataka mwenge yaani road ya Africana ikutane na mwenge sokoni then irudi mpk mataa then Mpaka bamaga na kurudi mpk Africa sana. Hiyo ndio MWENGEMlalakua hapo vimejaa