Kinatafutwa chumba+Sebule+jiko, fully furnished maeneo ya Mwenge

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu
Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo ya Mwenge, Dar au maeneo ambayo anaweza kupanda basi moja tu kufika maeneo ya Upanga. Anahitaji kwa miezi miwili ila kodi atalipa kila mwezi. Bajeti ni laki 4 kwa mwezi. Aliye nayo please whatsapp 0656388678.
 
Back
Top Bottom