ELISANTE DAVID
New Member
- Jul 16, 2018
- 3
- 5
Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo).
Chumba kiwe ni Self(Master).
Cha bei ya 100,000/= kwa mwezi
Chumba kiwe ni Self(Master).
Cha bei ya 100,000/= kwa mwezi