Natabiri: Bernard Membe kuendelea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Niwazi wewe ni mkosaji hapa niwazi unachuki binafsi na ulishaambiwa hapa kitambo kwamba Membe sio afisa uajiri pale mambo ya nchi,lakini bado unaweza jaribu tena hila tuma maomba tume ya ajira kwa uwezo unaozania unao wanaweza kukufikiria,usife moyo

Kwa taarifa yako sisi tunakaribia kustaafu....,huyu Bwana wako ..tumemfundisha kazi kijana...unasikia?...tunaujuwa uwezo wake ..ni mdogo ...na daima amekuwa akiishi kwa ufitini na kujipendekeza ...hafai wala hana uwezo wowote.....,especially uwezo wa kuipokea nchi iliyo kwenye recession.....just imagine ....Kikwete angepokea nchi toka kwa Mwinyi[ ni wazi pamoja na mwinyi kufungua uchumi huria ...hakufanikiwa kujenga serikali imara....yenye hazina ya kutosha].......sasa angeingia tena kikwete .....mwaka 1995....si tungejeuka manamba nchi nzima!!!
Ndio maana tunasema Membe hafai kupokea hii nchi mahali ilipo sasa...kwani ni MSANII MWINGINE!!
B ----879
 
Tumburi,
Hivi unazania utafanikiwa kushawishi uteuzi kwa mawaziri kwa miss information za kitoto kama hivi?, nahisi jina na lako ndio umbile lako kama sio akili zako zitakuwa zimefadhili na walio fadhiliwa na yusuf manji ,

Mzalendo,
Mimi sifanyi ushawishi wa uteuzi wa Mawaziri ndugu yangu, after all napenda ujue msimamo wangu kwamba nipo against na huu utaratibu wa kuteua Wabunge kuwa Mawaziri. Pia sijaona mtu anaefaa kuwa Waziri ndani ya CCM. Hilo la kwanza. La pili, ni kweli jina langu ndio umbile langu lakini napata shida ni kwa nini mtu anajiita Mzalendo wakati in reality ni AntiUzalendo (Against Uzalendo). Huwezo ukajiita Mzalendo huku ukiendelea kushabikia mafanikio ya miaka 50 ya uhuru yasioyoonekana katika maisha halisi ya Mtanzania.
 
Bernard Membe anafaa kuendelea na Wizara yake.Anatumia taaluma yake vizuri kabisa kikazi ukilinganisha na wengine. Nilishasema hili na mara nyingi nimekuwa matatani hapa JF. The guy is professional!

Ben,
Nakuheshimu sana Jembe langu lakini inapofika hatua unajionyesha kwamba hata ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali inayohusu Balozi zetu hujasoma kwa kweli unanitia aibu!. Kama unamtetea Membe basi hata Ngeleja, Ndundu, Maige and the like inabidi na wenyewe uwatete maana wote hawa Ripoti za CAG zimewaripoti vibaya.
 
Mimi natabiri watakao chaguliwa wana njaa kuliko waliotangulia.
Is it a coincidence? Kila ikifika katikati ya utawala wake anafumua baraza anaunda jipya?
Hapana! Ni kwa sababu kuna wanamtandao na wengine wengi wanaodandia mtandao na wako full kujipendekeza. Wote hawa wanataka walipwe fadhila. Wote hawa nao wanastahiki kipande cha keki.

Kwa hivyo kabla ya mwezi wa 6 (inawezekana hata ndani ya mwezi huu huu) JK atachagua wengine wa kuwalipa fadhila kwa kipindi cha lala salama.

Watanzania, tukae mkao wa kusaga meno wakati wao wanakaa mkao wa kula.

a like it
 
Ila tuache kudanyangya badala ya kulibebesha zigo taifa kwa kuchagua waziri Mku mwingine ninamshauri amurudishe Lowassa bila kujali kelele za wapinzani wengineo na familia yake eti Lowassa anataka kumngóa akimurisha hakika Lowassa atachapa kazi na aipaisha CCM, kwa vile Bunge sehemu kubwa ni la CCM Nina imani watamkubali Lowassa na EL hatafanya kosa atalekebisha mengi including shule za kata kero za maji umeme nk!

HUO NDIO UKWELI KWA SASA JK TUMIA RUNGU LAKO LA KATIBA TEUA TENA LOWASSA UTAFURAHI! NI KATIKA IMANI KUWA HATARUDIA MAKOSA NA WIZI WAKE TENA!!! ILA SIFA YA USIMAMIZI UTARUDISHA UHAI WA CCM , NI MAONI YANGU TU!

Amteue akawe PM wa nyumbani kwenu pambafuu. Wezi watupu nyie, unataka arudishwe ili muendelee kutuibia. NOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Hata Kikwete wakati anashikilia hiyo post watu walisema sana hana kashfa na ametulia hivyo anafaa kuwa Rais. Zilipokuja kuibuliwa hoja za pesa za Uarabuni na baadae utawala wake kudumaa kama mtoto aliyebemendwa watu walipigwa na butwaa. Membe is leadershipless. Ndiyo maana Kikwete amemuweka kwenye Wizara ambayo haigusi maisha ya watanzania ya kila siku ili asipatwe na kashfa. Hivi unadhani Membe angekuwa Waziri wa Nishati na madini au Mambo ya Ndani au Ulinzi mgempamba kama hivyo?



Nakubaliana na wewe asilimia 900%
 
Msanii mwingine. Acheni kabisa kuitakia 'janga' jingine nchi hii!yapo mengi kuhusu Membe,lakini hapa si mahali pake..itoshe tu kusema ogopa mtu anayehangaika saana na vyombo vya habari, na si vyombo vya habari 'kumbaini'..
 
Bernard Membe anafaa kuendelea na Wizara yake.Anatumia taaluma yake vizuri kabisa kikazi ukilinganisha na wengine.Nilishasema hili na mara nyingi nimekuwa matatani hapa JF........The guy is professional!
Ben...sometimes you seem to favor mediocre figures in TZ politics....sometimes i query your standards really....if they are not based on personal relationships etc etc ...anyway..thats your own opinion on them....coming to this Ben Membe guy....hili jamaa kuna wakati huwa nasikia mijamaa humu wanamwita joka la mdimu...hivi hii huwa ina maana gani???....maana you seem to know the guy better....calling him professional.....and yet we hear a lot of shit going on in our embassies abroad eh!!..is this proof of his professionalism???.....
 
Minister of Finance and Planning - Abdala Kigoda

Haaha ha ha ha! Huyu ambae alikuwa anatumia magazeti ya Udaku kumpigia kampeni za Urais 2005! Kazi kweli kweli! Nakumbuka siku hiyo imebaki siku moja wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupiga kura kupata majina matatu ya kupeleka kwenye Mkutano Mkuu gazeti la Ijumaa liliandika 'Huyu ndiye anafaa kuwa rais 62%'. Nakaangalia picha nikakuta amebandikwa Abdalah Kigoda! Nilicheka sana siku ile!
 
Mtatabiri sanaaaa ila JK kama kawaida yake atawashangaza. Ningeshauri mtulie tuuu na msubiri kitakachotokea
 

Hata Kikwete wakati anashikilia hiyo post watu walisema sana hana kashfa na ametulia hivyo anafaa kuwa Rais. Zilipokuja kuibuliwa hoja za pesa za Uarabuni na baadae utawala wake kudumaa kama mtoto aliyebemendwa watu walipigwa na butwaa. Membe is leadershipless. Ndiyo maana Kikwete amemuweka kwenye Wizara ambayo haigusi maisha ya watanzania ya kila siku ili asipatwe na kashfa. Hivi unadhani Membe angekuwa Waziri wa Nishati na madini au Mambo ya Ndani au Ulinzi mgempamba kama hivyo?


hivi Membe na Slaa nani mwenye kashfa? kama akili zako hazitoshi kujibu swali hilo omba msaada kwa wenzio then unijibu kwa ufasaha bila ku panic!
 
Hivi Membe na Slaa nani mwenye kashfa? Kama akili zako hazitoshi kujibu swali hilo omba msaada kwa wenzio then unijibu kwa ufasaha bila ku panic!

Ukiwarank Membe ni fasadi zaidi ya Slaa maana hata ukilinganisha 1 na 0 kwenye mizani, 1 lazima izame chini
.
 
Labda kama vyeo hupeana kwa undugu! Kwani baba wa membe mnamjua? Asije akawa ni baba wa mkulu pia! Fuatilieni!
 
Back
Top Bottom