Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Waziri Membe, tumjadili kwa new policies alizoziweka toka awe Waziri wa Nje, badala ya kujadili jina tu! Ninaamini ameisaidia sana sio wizara tu bali hata taifa, kuna wakati hadhi yetu kimataifa ilishuka sana, lakini sio I mean toka ashike hiyo wizara, kwa maoni yangu anafaa sana huko nje!
- Moja ya ninalolijua alilolafanya akiwa Waziri, ni kuhakikisha Tanzania tunanunua majengo yetu ya Ubalozi huko nje badala ya kulipa rent miaka nenda miaka rudi kama tulivyokuwa tunafanya kabla hajashika hiyo wizara, I mean it was insane tunalipa rent kubwa ambayo ukiiweka kwa miaka 10 tu unapata hela za kutosha kununua jengo lile lile tunalolipia rent. I mean kiongozi wa sasa anayefaa ni yule anyejua kubana matumizi kama huyu Waziri Membe!
William.

Mimi nilichosema naona ni foreign minister ila lugha haipandi! Au ana mkalimani? Kama anae nitamsifia saana kwa ku create employment opotnty!
Mimi nilichosema naona ni foreign minister ila lugha haipandi! Au ana mkalimani? Kama anae nitamsifia saana kwa ku create employment opotnty!
Membe kala pesa za kujenga kiwanda cha cement huko lindi,mtwara zilizotolewa na wa libya
Mkuu Bill ...wewe ni senior humu ndani....unajuwa mengi kuliko wengi...wetu....,sasa unapoanza kumtetea kilaza ,***** mtozeni Kama Huyu kwa sababu za kisiasa hatukuelewi.....Give us a break!!!!!
Eti Membe ni muasisi wa kununua nyumba nje .......? Wewe unajuwa ni uwongo .....wewe unajuwa juhudi za mwanzo za. Kununua nyumba nje silianza awamu ya kwanza ...tangu mzee wako akiwa waziri .....,mgonja..,kaduma na Salim etc..
Awamu ya pili ya mzee Mwinyi taifa lilipita kwenye Hali ngumu katika sera zetu za nje .....zilizopelekea nchi yetu kufunga balozi nyingi za nje..,na hata kuuza majengo yetu kwenye baadhi ya nchi ambazo kimkakati hatukuitaji kuweka mabalozi ...,ni wakati huu ...ambako najuwa mzee wako alikuwa balozi wetu alikuwa London ambako serikali pia ilipunguza idadi ya maafisa balozi ...na kurudisha familia Zao nyumbani ...baada ya kushindwa kuwalipia karo watoto wa maafisa balozi wetu ....
Serikali a awamu ya tatu baada ya mapato kuimarika ilianza kulipa madeni na kuimarisha sera zetu za nje ,kufufua baadhi ya balozi zetu za nje ....na ni wakati huu ambapo juhudi mpya za kununua majengo ya ubalozi silianza ...chini ya utawala wa mkapa na waziri aliwa KIkwete ......unajuwa tulinunua majengo hadi Tokyo....
Kwa ajili hii napingana vikali na wewe kumpa kilemba cha ukoka Huyu msanii Mwingine kuwa eti yeye ni mwasisi wa kununua majengo nje,....that's a waste ...tumeanza nunua nyumba toka enzi za Bhoke Munanka...wakati foreign office ikiwa just a department pale state house.....
Membe Kama ni uasisi labda mumpe ule wa Dual Citizenship.....msimpe sifa ambazo Hana...
membe ni mtu wa visasi hafai
- In general, ninaamini anafaa sana na ni mchapakazi!
William.
- Mkuu haya ni mawazo yako tu, nikiwa nje nimeona hii ishu ya balozi kununua majengo ikifanyika under Uwaziri wake, sasa ni busara zaidi kuliko personal ishus inatakiwa kutumika kuamini kwamba ishus hizi zimesukumwa na kuwepo kwake kwenye wizara hiyo.
- Otheriwse, naona upo ki-perosnal zaidi kuliko kitaifa, I mean kumuita Waziri wa Jamhuri kwa majina uliyomuita hapa inaleta maswali sana kama mna personal ishus naye, maana kazi yake ipo wazi na policies zake zipo very clear amesimamia nini na hakusimamia nini,
- In general, ninaamini anafaa sana na ni mchapakazi!
William.