Nasumbuliwa na meno ni aina gani ya dawa nitumie

Nyongeza:

Epuka soda zote na pipi, au biskuits, achana na dawa za kisasa, tumia aloe vera gel ya kukamua mwenyewe, tena tafuta miche yake uoteshe hapo kwako hata kwenye makopo kama maua, ili uwe unatumia kama dawa ya meno.
Mimi nimetumia dawa nyingi za meno, kuanzia colgate original, sensodyne aina zote, Al to Killer lakini tatizo limeendelea,
Nimeshang'oa mawili na kuziba meno kadhaa lakini naona yanaendelea kupukutika Hadi nikaamua nihame kwenda asili. Sasa yametulia baada ya kuanza kufuata kanuni za afya, kwa kuwa ninapoishi ni karibu na porini natumia aloe vera original toka porini napiga asubuhi na jioni, yaani fresh, upukutikaji na sensitivity ya meno imeisha au kupungua.
Pole sana, fuata principle tu za afya, meno yetu tunayaharibu wenyewe kwa vyakula, vinywaji na dawa za neno za kisasa.
Jiulize kwa nini matangazo ya dawa za meno yanavyoongezeka na magonjwa ya meno yanazidi?
Hizi dawa hazitibu meno zaidi ya ku brush hard layer ya jino na kuifikia enamel.

Nawashauri wale ambao hamjaanza kupata matatizo ya meno kuchukua pre caution mapema. Mimi nilijiona nina meno magumu nikawa najilia na kujinywea hovyo hadi tatizo likaniingia.
Sirudii tena narudi kwa vitu vya asili tu.
Samahani mkuu. Unamaanisha lile jani la aloe vera nilikate kisha yale maji yake yanayotoka kwenye jani ndio nitumie kupigia mswaki kila asubuhi na jioni?.
 
mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amaka asubuhi kabala ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wEwe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.
Dawa hii nitaanza nayo leo.
 
Mkuu wagonjwa tupo wengi. Hii tiba mbadala imekaaje mkuu? Inaswihi?
 
wadau naombA kuulizA hvI hayA menO huwa yanajipekechA yenyew mpakA yanatobokA au kunA wadudu ndani kazi yao kutoboA meno.maanA la kwngU limetobokA kwA pembenI bt nikmezA dawA nakaA mwaka na miezi ndo linaanzA tena.
 
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Kuna mti flani jina la kiswahili cjui, njoo pm nikuelekeze...tahadhari mim sio mganga wa jadi
 
Piga mswaki mara 2 Kwa siku, asubuhi na usiku kabla ya kulala. Tumia Colgate au sensodine na pia nunua mswaki mzuri sio ile ya 500 (Google, YouTube aina bora ya mswaki pamoja na jinsi ya kusugua meno). Ni muhimu pia kununua mouthwash (listerine ni mzuri sana) uwe una sukutua kila baada ya kupiga mswaki. Kama wewe ni mkristo fanya sana maombi sometimes ni nguvu za giza ambazo zina changia kupata maradhi ya mara kwa mara.
 
mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amaka asubuhi kabala ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wEwe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.
Hii kuna mtu nafahamu alishawahi kujaribu ikafanya kazi,not a joke it worked.
 
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Tumia sensodyine na mwaki mgumu.
Piga mswaki mara 2 (asubuhi na usiku wakati wa kwenda kulala).
Watanzania hatuna utamaduni wa kwenda kukagua afya mpaka tuugue, rasilimali duni (fedha hatuna, na wahudumu na vifaa vya ukaguzi duni) pia huchangia
 
Jamani tunaomba mtusaidie kweli kweli tupo wengi sana,kama mimi yalianza kupekechwa nikaengaga hosp nikafanya root canal na kuyaziba ila Juzi limekatika kabisa jino la mbele(reception),dr kanishauri nikaweke jino jingine yale ambayo ni permenent siyo ya kutoa wakati unakula au kulala(Teeth Implantation),Sasa nina shida na dr.wa muhimbili angalao anisaidie gharama zake,au kwa bima pia inatumika??

Ki ukweli nimeelekezwa sana kuwa cha kuniponyesha haya meno ni miti shamba tuu na watu wakuwaona ni wamasai,watu wa kigoma n.k ila pia kila maeneo zipo dawa za asili za meno ishu kuzipata na ziwe za uhakika yaani Kumbe tupo wengi sn
 
wadau naombA kuulizA hvI hayA menO huwa yanajipekechA yenyew mpakA yanatobokA au kunA wadudu ndani kazi yao kutoboA meno.maanA la kwngU limetobokA kwA pembenI bt nikmezA dawA nakaA mwaka na miezi ndo linaanzA tena.
Meno yanasagika kama vile chuma kinavyoisha taratiibu, acid nazo ndo zina corrode meno kidogo kidogo, hivyo jilinde kwa kuepuka acids ( Hasa drinks and foods) na kula vitu vigumu( Grinding and chewing)
 
Piga mswaki mara 2 Kwa siku, asubuhi na usiku kabla ya kulala. Tumia Colgate au sensodine na pia nunua mswaki mzuri sio ile ya 500 (Google, YouTube aina bora ya mswaki pamoja na jinsi ya kusugua meno). Ni muhimu pia kununua mouthwash (listerine ni mzuri sana) uwe una sukutua kila baada ya kupiga mswaki. Kama wewe ni mkristo fanya sana maombi sometimes ni nguvu za giza ambazo zina changia kupata maradhi ya mara kwa mara.
Acha uongo, upigaji/usuguaji sana wa meno unachangia sana kuharibu meno kwani meno hukwanguliwa kidogo kidogo, nashauri piga mswaki asubuhi na jioni kwa kutumia softbrush na pia usitumie nguvu sana kubrush hadi upate mushroom ya mswaki, bila kusahau few seconds in brushing, kama huna tatizo la kunuka mdomo sana usitumie Listerine kwa vile hii dawa inaua bacteria wazuri wanaolinda kinywa
 
mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amaka asubuhi kabala ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wEwe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.
Aise kuna jamaa aliniambia hvy hvy na alisema alisumbuliwa na jino sana mpk babu yke akamuambia afanye hvy na kasema hajasumbuliwa na jino tena ,sema inahitaji moyo sana
 
sabuni nyeupe za mche
Msijaribu sabuni hizi kupigia meno ni hatari sana, mwingine anaweza kukushauri utumie dettol ya maji ni hatari. Nina jamaa yangu amestaafu kazi mwaka huu, alitumia hizi mambo ameishia kung'oa meno yote sasa ni kibogoyo, mashavu yote yameingia ndani kwa kung'oa meno.
 
Back
Top Bottom