Nasumbuliwa na meno ni aina gani ya dawa nitumie

Aise kuna jamaa aliniambia hvy hvy na alisema alisumbuliwa na jino sana mpk babu yke akamuambia afanye hvy na kasema hajasumbuliwa na jino tena ,sema inahitaji moyo sana
Ukiwa na shida utatumia tu
 
Akili za makande hizo, mimi siuzi wala staki chochote bali ni msaada tu. Sikushangai sababu mwizi huwaza wizi tuuuu kama uwazavyo
Mgonjwa ametoa tatizo lake public wewe unamtaka aje PM kama una nia ya kumsaidie bure si umsaidie hapa hapa hadharani, kama huo mti huujui akija PM ndo utaujua? Acha utapeli, muda wote mnatafuta prey wa kumla.
 
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Piga picha hii kichwani. Tembea along Lumumba st, ukitokea mnazi mmoja kielekea jengo la vijana, baada ya ofisi ndogo ya CCM, mtaa wa mwisho kabisa kabla haujafika mataa ya morogoro na lumumba pinda kushoto. nenda na mtaa huo hadi makutano na living stone st. pinda kushoto , mlango wa pili kushoto kwako utakuwa umefika SHIFAA HERB MEDICINES. hapo utapata dawa itakayo kusaidia.
 
mkuu akuna sabuni wala nini, fanya hivi nenda hospital kazibe, nakumbukuka niliziba 2013, mpaka leo nakula adi nyama, kikubwa katika jino hakuna mdudu wala nini, isipokuwa ni jino lenyewe linajipekecha, ata utumie mzizi wa muarobaini jino litaisha tu, ila ukitumia njia za kitaalamu jino tilatibiwa na utasahau maumivu. nineumwa sana meno ila njia hyo umenisaidia
Bei gani
 
Mgonjwa ametoa tatizo lake public wewe unamtaka aje PM kama una nia ya kumsaidie bure si umsaidie hapa hapa hadharani, kama huo mti huujui akija PM ndo utaujua? Acha utapeli, muda wote mnatafuta prey wa kumla.
Una akili mgando wew, pm sio machinjioni wala uchochoroni, huyu ni mtu mzima anajua kung'amua mambo, ikiwa kuna dalili za udanganyifu pia ataelewa, unajifanya mwema ilhali ni mbwa mwitu
 
Meno yanasagika kama vile chuma kinavyoisha taratiibu, acid nazo ndo zina corrode meno kidogo kidogo, hivyo jilinde kwa kuepuka acids ( Hasa drinks and foods) na kula vitu vigumu( Grinding and chewing)
shukran
 
Aise kuna jamaa aliniambia hvy hvy na alisema alisumbuliwa na jino sana mpk babu yke akamuambia afanye hvy na kasema hajasumbuliwa na jino tena ,sema inahitaji moyo sana
Ni maamuzi tu kila kitu ukiamuwa unaweza kukifanya si mkojo wako mwenyewe kwani una madhara gani ukiutumia?
 
mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amaka asubuhi kabala ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wEwe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.

:)
 
What u've said is true.
 
wengi watashangaa na kustuka ila kwa meno tumia mafuta ya taa, kama ni yanatoboka au vina vijidudud, ni dawa ya kiasili, zaidi ya kina dr,NANI wale wa kule
 
Mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amka asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wewe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.
Ni kweli ni dawa nzuri sana.Mkojo unatumika pia kuongeza cd4 kwa wanaoishi na HIV na afya ikaimarika,pia waeza ondoa machunusi usoni na ukawa soft kabisa kwa kutumia mkojo
 
Nenda ofisi za modern traditional clinic tafuta Dawa ya ungaunga inaitwa dental formula nina ushahid mwaka wa kumi sasa tangu nitumie meno yako poa inauwa wadudu wote kwenye meno uking'oa sio ufumbuzi kwani wadudu watahamia meno mengine
 
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Pamoja unatafuta dawa ya kutibu,nakushauri pia utumie dawa ya meno ya sensodyne Lakini hakikisha ni original,na Iwe ndiyo dawa yako kila siku mimi mwenyewe Nina tatizo hilo nishan'goa meno manne ndiyo kuna Doctor akanishauri nitumie hiyo dawa kwa kweli nimepumzika Muda mrefu sijaumwa meno.
 
Mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amka asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wewe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wako

MUHIMU: Mkojo wako mwenyewe sio sumu kuutia mdomoni hauna madhara kwako.

Yaweza kuwa dawa, ila kazi ipo.
 
Back
Top Bottom